Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe.
Jamii Forum ni jukwaa muhimu mno kufanya siasa kutoa hoja na kujibu hoja maana JF kuna wajinga wachache tofauti na Facebook. Lakini utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba asilimia 70 ya Uzi zinazopandishwa hapa ni zile zenye maudhui ya Chadema. Na ujumbe wao unapenya mno. CCM mmebaki na vikao vya ndani, shauri yenu chelewa-chelewa utakuta mwana si wako na uhuru huu wa mikutano.
Magrupu ya WhatsApp haitoshi maana huko mko peke yenu chumbani hamna challenge. Sophia Mgema amepwaya msaidieni hawezi spana za kina Lissu, Mbowe, Lema, Slaa nk. Chukueni hilo.