Uchaguzi 2020 CCM msipokaza msimu CHADEMA watawaangusha

Mshumaa_Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
681
Reaction score
2,501
Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu.

Je, mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down

Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge.

CCM nawaona kama mko nyuma sana,

Fake election committee, na Migambo wote wachumba tu ,litakufa jitu ndo slogan nani asiyejuwa ccm mnapenda Ego.

Samahani kama inapain ,but always muda ndo mwalimu tosha .

Demokrasia tunapashwa kuikuza sisi hapa ,Dunia ndo itaamini faster.
 
ccm hawategemei wananchi, wao wanategemea tume
 
Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu.

Je mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down

Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge.

Ccm nawaona kama mko nyuma sana,

Fake election committee, na Migambo wote wachumba tu ,litakufa jitu ndo slogan nani asiyejuwa ccm mnapenda Ego.

Samahani kama inapain ,but always muda ndo mwalimu tosha .

Demokrasia tunapashwa kuikuza sisi hapa ,Dunia ndo itaamini faster.
CCM wao wanategemea kuiba kura kupitia polisi na tume..period.
 
Experience is the best teacher,ccm wanategemea jeshi la polisi,mahakama,tume mbovu ya uchaguzi,vyombo vya habari vinavyo-support ujinga wao kama Clouds Tv na Clouds fm,Uhuru fm,Star Tv na TBC pamoja na wananchi wachache wasiokuwa na ufahamu wa kutosha!
Sisi ni wengi kuliko hao vihongwe wao wanao wabebesha mizigo ya dhambi.
 
Most of youths, wako cdm na ndo wapiga kura 80% wa uchaguzi huu.

Je mmejipangaje katika uchaguzi huu. Msipokaza kalio watawabreak down

Nyie endeleeni kuwaweka wazee waliochoka eti wagombee. Udiwani na Ubunge.

Ccm nawaona kama mko nyuma sana,

Fake election committee, na Migambo wote wachumba tu ,litakufa jitu ndo slogan nani asiyejuwa ccm mnapenda Ego.

Samahani kama inapain ,but always muda ndo mwalimu tosha .

Demokrasia tunapashwa kuikuza sisi hapa ,Dunia ndo itaamini faster.
Instagram media - CBWT8BtgtED ( 640 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom