CCM msituchanganye ilani ndiyo msingi mkuu wa uchaguzi na kuchaguliwa

CCM msituchanganye ilani ndiyo msingi mkuu wa uchaguzi na kuchaguliwa

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Habari!

Kila ninapojaribu kuangalia ilani ya chama na vipaumbele vya CCM (2020-25),nakuwa hopeless kabisa inaonekana behaviour approach is most likely katika chama hiki kikongwe nikipendacho kuliko preferences ambazo zilikuwa manifested kipindi cha uchaguzi ambapo RAIS MAGUFULi(party manifesto) iliamini katika kujitegemea kunaletwa na ujenzi.

Bora miundombinu ambayo yataleta mapinduzi katika viwanda na usafirishaji lakini kwa upande wa awamu ya 6 ambayo bado ipo katika term ya awamu ya 5 imejizatiti katika ubinafsishaji (uwekezaji) ambapo naona sio jambo sahihi kwa taifa changa.

Nawasilisha CCM MSITUCHANGANYE.
 
Kama unachanganyikiwa, wewe si mmoja wao. Kwa kutaja jina la mtu, basi ujue kinachofuatwa ni mawazo ya mtu, chama hakina mtazamo.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Chama chakavu hiki hata kukijadili sasa ni kupoteza muda.. Maana hakitabadilika wala hakitabadilisha chochote.. Njia ni moja tu kukitimua kupitia maandamano yasiyo koma maana kwenye box la kura tutaambulia mabua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom