CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru?

Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom of expression, na ni moja ya nafasi chache ambapo wananchi wanaweza ku-question power bila censorship ya kipuuzi. Hii kitu iko wazi kabisa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977:

Ibara ya 18 (a–d): Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni, kutafuta, kupokea na kusambaza taarifa bila bugudha.

Ibara ya 20: Kila mtu ana uhuru wa kushiriki katika chama chochote au jukwaa la kijamii.

Sheria ya Haki za Binadamu (International Bill of Rights & ICCPR Art. 19): Tanzania imesaini na inatakiwa kulinda haki hizi.


So mkitoka tu na excuses za β€œpicha za raisi na Chivayo” ndio mfungie the whole f**king forum – that’s illegal, unconstitutional, na ni abuse of power. Mnajifanya hamjui sheria au mnajifanya gangster wa kifala?

Hivi nyie CCM kila kitu mnafanya ni kwa kukurupuka, bila logic, bila busara, bila heshima kwa wananchi. Mnaendesha nchi kama mali ya familia yenu. Lakini newsflash – hii nchi si mali yenu, ni mali ya wananchi, sio playground ya chama tawala!

Mnadhani mkizima mitandao, watu hawataongea? Mnadhani watu hawata-expose corruption na ujinga wenu? Mko wrong, vibaya sana. Mnazidi kuonesha dunia kuwa hamna demokrasia wala ustaarabu, mnaendesha serikali kwa vitisho na censorship ya kijinga.


βš–οΈ Bottom Line:
Kufungia Jamii Forums kwa sababu ya β€œpicha za Rais na Chivayo” ni kosa la kikatiba, kisheria na kimaadili. Ni dhihirisho la CCM kuendelea kutuona kama watoto wadogo wa kufokewa bila kuuliza. But guess what? We ain’t your puppets.

Jamii Forums lazima ibaki huru – period.
 
niwaombe mamlaka wazidi kumulika machapisho nchini

sijaona tatizo liko wapi bado
 
Naunga mkono hoja yote KASORO matusi tu mkuu

Nafikiri kwa Sasa Ccm hawaingii Tena humu maana wameshafungia hili jukwaa
 
Mbona wameelezea vizuri chanzo za kufungia
 
Nmeumia sana
Yani tutakosa habari na kubadilishana mawazo for 90 days
Ccm ndugu wajumbe nchi ni yenu endeleeni Mungu awape atakavyoona mnastahili
Ila kutunyima JF mnatuonea sana aisee
Ndo eneo letu la ku'refresh nalo mmeona tukose
Haya bwana tunashukuru
 
Mkuu hongera sana kwa kuzungumza!
Ninajiuliza tu kama picha ndio zimefanya wame-panick hivi, je siku Private Investigators wakidukua maongezi kati ya Rais na Kibonge, maongezi ya Kimapenzi au Kifisadi? Nadhani polisi watapita kila nyumba kuchukua simu zote na kompyuta kila nyumba! This is real a shame for us πŸ˜”
 
CCM ina wanachama wengi (mamilioni), raia wema, wanaopenda nchi yao na wananchi wote bila kujali itikadi, kabila au jinsia.
Sasa, changamoto ni wanaodai mabadiliko kutaja CCM badala ya shida ilipo (mtumishi wa Uma, ofisi yake, taasisi....).
Watanzania kwa ujumla ni wamoja na wapenda haki bila kujali vyama.
 
ccm kuna viongozi wajinga sana
 
Na bado kuna ma-CCM humu yalifurahia JF kufungiwa na kubanwa mbupu Maxence Melo na crew yake yote.

Mengine yako hapa sasa hivi yakiunga mkono uzi wako, mengine hayaonekani tena jukwaani. Ila siku Ile yote yalionyesha rangi zao halisi. Pitieni comments za siku husika, mtawabaini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Poliss wataamini kuwa laputopu zetu zina picha mijongeo ya Big Dog akiichapa mpaka ichanganyikiwe πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Poliss wataamini kuwa laputopu zetu zina picha mijongeo ya Big Dog akiichapa mpaka ichanganyikiwe πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Picha wamepiga wenyewe wame-release wenyewe kosa liko wapi… kwanini walipiga sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…