CCM mtandao waonesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga, Humphrey Polepole alishatuonya

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.

CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000 kwa siku! Kiwanda hiki kingeiingizia Tanzania mabilioni ya dolla kupitia kodi na ajira kwa watanzania.

Ikumbukwe Rais Ruto alisemwa na kusimangwa hadharani na Rais Samia kwa nini ametangaza ujenzi wa refinery Tanga wakati yeye Rais Samia hajui!
Rais Ruto aliomba msamaha kwa Rais Samia na akasema kama angejua asingetangaza kwani anatamani sana hiyo refinery ijengwe Kenya maana ni fursa kubwa ya kiuchumi.

CCM mtandao wamepinga ujenzi wa refinery hiyo kwa sababu ndio wanaojenga vituo vya mafuta kila kona kiholela na bei ya mafuta wanajipangia wanavyotaka, hivyo hicho kiwanda cha kusafisha mafuta kingewadhibiti pakubwa kuwaibia watanzania.

Ikumbukwe CCM mtandao ndio waliokuwa wanapinga ujenzi wa bwawa la umeme kwa sababu walikuwa na biashara kubwa ya kuingiza majenereta na dili zingine kama ile Richmond.

Ni CCM mtandao ndio walikuwa wanapinga na kuhujumu kwa namna zote mradi wa ujenzi wa SGR kwa sababu wao ndio wamiliki wakubwa wa malori. Ni CCM mtandao ndio wamehujumu matumizi ya bandari kavu ya Kwala kwa sababu wao ndio wamiliki wa bandari kavu za mjini Dares salaam. Mpaka sehemu ya wazi Jangwani imegeuzwa kuwa bandari kavu ya kuhifadhia makontena.

Humphrey Polepole alionya kuwa CCM mtandao wamemkamata na kumdhibiti Rais Samia na sasa anawatumikia.

Rais Samia sasa anakataa viwanda kwa hofu ya kushughulikiwa na CCM mtandao.
 
Ni CCM mtandao ndio walikuwa wanapinga na kuhujumu kwa namna zote mradi wa ujenzi wa SGR kwa sababu wao ndio wamiliki wakubwa wa malori.
Ni CCM mtandao ndio wamehujumu matumizi ya bandari kavu ya Kwala kwa sababu wao ndio wamiliki wa bandari kavu za mjini Dares salaam. Mpaka sehemu ya wazi Jangwani imegeuzwa kuwa bandari kavu ya kuhifadhia makontena.

Humphrey Polepole alionya kuwa CCM mtandao wamemkamata na kumdhibiti Rais Samia na sasa anawatumikia.
Rais Samia sasa anakataa viwanda kwa hofu ya kushughulikiwa na CCM mtandao.
 
GDP yetu yenyewe ni hardly $80...means tulikuwa tunaenda above $ 100 in less than 6 yrs..achia uwekezaji wa serikali..$120!
 
Umasikini na ufukara wa watanzania wengi ni fursa kubwa sana kwa mafisadi na mabwanyenye wachache katika taifa hili.
 
Jpm asingeliacha hili lipite nakumbuka bomba la mafuta Hoima alivyowachezesha kwata wakenya
 
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.

CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000 kwa siku! Kiwanda hiki kingeiingizia Tanzania mabilioni ya dolla kupitia kodi na ajira kwa watanzania.

Ikumbukwe Rais Ruto alisemwa na kusimangwa hadharani na Rais Samia kwa nini ametangaza ujenzi wa refinery Tanga wakati yeye Rais Samia hajui!
Rais Ruto aliomba msamaha kwa Rais Samia na akasema kama angejua asingetangaza kwani anatamani sana hiyo refinery ijengwe Kenya maana ni fursa kubwa ya kiuchumi.

CCM mtandao wamepinga ujenzi wa refinery hiyo kwa sababu ndio wanaojenga vituo vya mafuta kila kona kiholela na bei ya mafuta wanajipangia wanavyotaka, hivyo hicho kiwanda cha kusafisha mafuta kingewadhibiti pakubwa kuwaibia watanzania.

Ikumbukwe CCM mtandao ndio waliokuwa wanapinga ujenzi wa bwawa la umeme kwa sababu walikuwa na biashara kubwa ya kuingiza majenereta na dili zingine kama ile Richmond.

Ni CCM mtandao ndio walikuwa wanapinga na kuhujumu kwa namna zote mradi wa ujenzi wa SGR kwa sababu wao ndio wamiliki wakubwa wa malori. Ni CCM mtandao ndio wamehujumu matumizi ya bandari kavu ya Kwala kwa sababu wao ndio wamiliki wa bandari kavu za mjini Dares salaam. Mpaka sehemu ya wazi Jangwani imegeuzwa kuwa bandari kavu ya kuhifadhia makontena.

Humphrey Polepole alionya kuwa CCM mtandao wamemkamata na kumdhibiti Rais Samia na sasa anawatumikia.

Rais Samia sasa anakataa viwanda kwa hofu ya kushughulikiwa na CCM mtandao.
Mombasa na Tanzania kuna umbali gani hadi kuathiri bei?..mkitunga ujinga muwe mnafikiria kwa mapana na marefu
 
Kama haiathiri bei kwa nini Samia hataki ijengwe Tanzania?
Ukitetea upumbavu uwe na akili hata ya kuendea chooni
 
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.

CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000 kwa siku! Kiwanda hiki kingeiingizia Tanzania mabilioni ya dolla kupitia kodi na ajira kwa watanzania.

Ikumbukwe Rais Ruto alisemwa na kusimangwa hadharani na Rais Samia kwa nini ametangaza ujenzi wa refinery Tanga wakati yeye Rais Samia hajui!
Rais Ruto aliomba msamaha kwa Rais Samia na akasema kama angejua asingetangaza kwani anatamani sana hiyo refinery ijengwe Kenya maana ni fursa kubwa ya kiuchumi.

CCM mtandao wamepinga ujenzi wa refinery hiyo kwa sababu ndio wanaojenga vituo vya mafuta kila kona kiholela na bei ya mafuta wanajipangia wanavyotaka, hivyo hicho kiwanda cha kusafisha mafuta kingewadhibiti pakubwa kuwaibia watanzania.

Ikumbukwe CCM mtandao ndio waliokuwa wanapinga ujenzi wa bwawa la umeme kwa sababu walikuwa na biashara kubwa ya kuingiza majenereta na dili zingine kama ile Richmond.

Ni CCM mtandao ndio walikuwa wanapinga na kuhujumu kwa namna zote mradi wa ujenzi wa SGR kwa sababu wao ndio wamiliki wakubwa wa malori. Ni CCM mtandao ndio wamehujumu matumizi ya bandari kavu ya Kwala kwa sababu wao ndio wamiliki wa bandari kavu za mjini Dares salaam. Mpaka sehemu ya wazi Jangwani imegeuzwa kuwa bandari kavu ya kuhifadhia makontena.

Humphrey Polepole alionya kuwa CCM mtandao wamemkamata na kumdhibiti Rais Samia na sasa anawatumikia.

Rais Samia sasa anakataa viwanda kwa hofu ya kushughulikiwa na CCM mtandao.
Kabisa ni biashara ya mafuta ya rafiki za Samia inalindwa kwa kukataa refinery.
 
Back
Top Bottom