CCM mtandao waonesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga, Humphrey Polepole alishatuonya

Umasikini unakusumbua,wazee wako wangewekeza kwenye kujenga utajiri badala ya pombe na vinena,usingeugua chuki kiasi hicho
RUTO: TULIDHANI TANGA NDILO CHAGUO BORA, LAKINI HATUTAWALAZIMISHA WAWEKEZAJI KUHUSU MAHALI PA KUJENGA

"Tuna bandari za Tanga, Mombasa na Lamu. Tumemwomba Aliko Dangote atambue eneo linalofaa zaidi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta. Tulidhani Tanga ndilo chaguo bora kwa sababu bomba la mafuta lilielekezwa huko, lakini hatutawalazimisha wawekezaji kuhusu mahali pa kujenga" Rais wa Kenya William Ruto akiwa kwenye ukumbi wa African Summit 2026

Hivi Ruto kwanini amechangamkia sana hii dili kwani Tanzania hatukuona mbona amekuwa dalali? 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…