Yeye anaamini ana akili kuliko hata aliyemuumba , mwacheni aendelee kulikoroga"Nitanunua tena ndege tano iri mubebee hata minyama na mimbogamboga yenu humo.."
"Tunatumia tiririoni sabha (7) kudjenga Stigirazi godji na ni feza zetu za ndani"
"Tunadjenga reri ya kisasa ya Standard geji kwa pesa zetu za ndani. Nchi hii ni tajiri ndugu zangu"
"Tunadjenga 'mafuraiova' Darisarama na hata hao wanaonitukana wanayatumia"
"..Mmechagua wenyewe wapinzani siwezi kureta maendereo djimbo ra upinzani. Mpaka mdjifunze"
Dakika tano baadae...
"Maendereo hayana chama djamani..msema kweri ni mpenzi Wa Mungu"
Masikio yangu yamekinai huu utumbo!
Wewe zinakuuma nini, si uende kule yako mapya.Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.
Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020 hesabu yake imeisha tunataka mapya.
Kuna uwezekano hotuba yake ya kwanza mpaka ya mwisho ikawa ni yale yale.barabara, ndege, na madaraja
Mshenzi mmoja. Hajali wananchi wanataka nini Bali yeye anataka nini!Yeye anaamini ana akili kuliko hata aliyemuumba , mwacheni aendelee kulikoroga
Huna akili sawa sawa..wewe ya nyumbani kwako ulisha yamaliza? Ukiulizwa utayamalizaje hutatoa mwanga kwa wanaokuuliza ili wajue muelekeo wako?Ukifungua television bila kujua kama kuna kampeni unaweza kudhani ni hotuba za kawaida za JPM na sio kujinadi ili kuomba kura.
Ulituahidi tukakupa miaka 5 ambayo tumeyaona hatuhitaji kuambiwa .Sasa tuambie tukikupa miaka mngine utafanya nini sio kujinadi na yale uliyoyafanya. Ya 2015-2020 hesabu yake imeisha tunataka mapya.
Kuna uwezekano hotuba yake ya kwanza mpaka ya mwisho ikawa ni yale yale.barabara, ndege, na madaraja
Chadema hawajawahi kuwajibika na kodi ya Watanzania unategemea waeleze wamefanya nini ilhali kwa kiburi tulielezwa tusipochagua CCM maendeleo hayaendi na cha kuwafanya hatuna.Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini
Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa
uongo chadema kuna halmashauri wana mameya na madiwani na hukusanya kodi za halmashauri hizoChadema hawajawahi kuwajibika na kodi ya Watanzania unategemea waeleze wamefanya nini ilhali kwa kiburi tulielezwa tusipochagua CCM maendeleo hayaendi na cha kuwafanya hatuna.
Wakati Magufuli alisema makusanyo yote ya kodi yaende hazina.uongo chadema kuna halmashauri wana mameya na madiwani na hukusanya kodi za halmashauri hizo
Pesa yote inaenda hazina kuu, hesabu inatoka magogoni nini kifanyike. msijitoe ufahamuuongo chadema kuna halmashauri wana mameya na madiwani na hukusanya kodi za halmashauri hizo