Uchaguzi 2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

Uchaguzi 2020 CCM mwambieni Magufuli kwenye kampeni tunaahidi mapya ya kufanya sio kuzungumzia uliyoyafanya

Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini

Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa
Hawaelewi kuwa Chama kilikuwa kinatekeleza ilani yake sasa kinaeleza kilichotekeleza na kuahidi hatua zijazo.
Watuambie Lissu alifanya nini Singida miaka mitano iliyopita??
 
Back
Top Bottom