Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Sep 5, 2020 #21 Sky Eclat said: Wakati Magufuli alisema makusanyo yote ya kodi yaende hazina. Click to expand... Mwambie huyu kilaza anajifanya hajui
Sky Eclat said: Wakati Magufuli alisema makusanyo yote ya kodi yaende hazina. Click to expand... Mwambie huyu kilaza anajifanya hajui
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Sep 5, 2020 #22 jingalao said: lissu kaacha kuzungumzia risasi 16? Click to expand... Amezungumzia mama Samia Ila alichokipata kutoka kwa kigogo 2014 naisi anajuta kumzungumzia Lissu na risasi 16
jingalao said: lissu kaacha kuzungumzia risasi 16? Click to expand... Amezungumzia mama Samia Ila alichokipata kutoka kwa kigogo 2014 naisi anajuta kumzungumzia Lissu na risasi 16
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Sep 5, 2020 #23 YEHODAYA said: Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa Click to expand... Hawaelewi kuwa Chama kilikuwa kinatekeleza ilani yake sasa kinaeleza kilichotekeleza na kuahidi hatua zijazo. Watuambie Lissu alifanya nini Singida miaka mitano iliyopita??
YEHODAYA said: Kueleza ilani unatakiwa kwanza kueleza ile iliyopita ulifanya nini.Unatoa ripoti kwa wananchi kwanza ndipo unatoa mpya kueleza utafanya nini Chadema Hawana cha kueleza cha ilani yao iliyopita waluchokifanya ndiomaana wanaongea vitu vyao hewa Click to expand... Hawaelewi kuwa Chama kilikuwa kinatekeleza ilani yake sasa kinaeleza kilichotekeleza na kuahidi hatua zijazo. Watuambie Lissu alifanya nini Singida miaka mitano iliyopita??