Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba wa uongo ni ....
Ahahahaha ww ulitaka asimamishwe nani?Kwaheri Chadema
Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Ahahahaha ww ulitaka asimamishwe nani?
Ninyi mnatudanganya hakuna alichfanya. ?Ni watanzania wachache sana wanaomwelewa John! Ni mwongo, hakuna dunia hii aisee! Kinachonishangaza mimi, kwa nini watz wanadanganyika namna hii? Mbona ccm wanatuchukulia kuwa ni wajinga kiasi hicho??
Nimepatatu picha kwamba Mbowe amekua tishio kubwa sana kisiasa.
Sijawahi kusikia mheshimiwa akimjadili mbunge kwa kina kama alivyomuelezea Mbowe leo pale Bomang'ombe
Teknolojia inakumbukumbu ya Mamilioni ya GB wakati Mwenyekiti wa CCM hata Mb1 hafikishi
Unajua hata kazi moja ya medulla wewe au unaongea tu utopolo?Kile Kichwa cha Mwenyekiti wa CCM hakiko sawasawa. Ile NUNDU SIYO BURE something must be very wrong in his medulla Oblongata🤣🤣🤣!!!!
Laana za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani ndizo zimemganda kapagawaKile Kichwa cha Mwenyekiti wa CCM hakiko sawasawa. Ile NUNDU SIYO BURE something must be very wrong in his medulla Oblongata🤣🤣🤣!!!!
Bado unavuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba?Unajua hata kazi moja ya medulla wewe au unaongea tu utopolo?
Tena alikuwa ameandikiwa hotuba. Alikuwa anaonekana kusoma na kufafanua point moja baada ya nyingine. Hakika wamedhamiria kumng'oa Mbowe.Nimepatatu picha kwamba Mbowe amekua tishio kubwa sana kisiasa.
Sijawahi kusikia mheshimiwa akimjadili mbunge kwa kina kama alivyomuelezea Mbowe leo pale Bomang'ombe
Bado unavuta Bangi hapo gheto kwa cyprian Musiba? Ukweli upi? au ni ukweli wa kuiba pesa za majimbo ya wapinzani kwenda kupeleka vimaendeleo kiduchu kwenye majimbo ya CCM ambayo nayo 89% hayana maendeleoKasema ukweli mtupu kwani uongo? Mbowe ni mzigo
DC wa Hai ndiye kawaandikia lakini wamesahau kuwa majimbo ya wabunge wa CCM yapo taabani kimaendeleo na mfano halisi ni jimbo la Ndungai kule KongwaTena alikuwa ameandikiwa hotuba. Alikuwa anaonekana kusoma na kufafanua point moja baada ya nyingine. Hakika wamedhamiria kumng'oa Mbowe.
Kasema ukweli mtupu kwani uongo? Mbowe ni mzigo
Nasikitika kusema Jiwe ni muongo na ndio maana kazuia BUNGE LIVE tusijue yanayoendelea huko. Ametumia style hiyo hiyo kwa Mdee na anaendelea nayo kwa Mbowe.