Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Kasema ukweli mtupu kwani uongo? Mbowe ni mzigo
Acheni kuchukua pesa za walipa kodi kwenye majimbo ya wapinzani kupeleka kwenye miradi yenu, wananchi wanalipa kodi jimboni wanataka maendeleo lakini wakurugenziccm na mameya wa CCM wanawahujumu wapinzani kwa kuminya maendeleo kwa makusudi ili kuwakomoa
 
..Magufuli ni mbaguzi.

..Mbowe sio mzigo hata kidogo.

..Mbona wakati wa JK barabara za jimbo la Hai zilijengwa?
Mpaka sasa jimbo la Hai barabara zipo vizuri na maendeleo yapo licha ya hujuma kubwa tokea kwa DC wa Hai na mkurugenziccm na wengineo
 
Shukuru fake ID's hatuwezi kuiona yako.
Nenda kwenye Hoja acha mikwara haikusaidii na haisaidii CCM kumbuka hata cyprian Musiba ana mikwara kibao lakini kaishia kumpigia magoti membe na sasa wapo wanakula Dili la kuidhoofisha ACT na kugawa kura tarehe 28 ingawa wananchi wamewashitukia
 
Wewe unatumia original ID?
Na ndio maana sijaja na comment ya maswala ya sura,tutajuaje sisi? huenda wewe ukawa na mbaya kuliko hata ya Magufuli Ila fake ID imekusave.
 
Mpaka sasa jimbo la Hai barabara zipo vizuri na maendeleo yapo licha ya hujuma kubwa tokea kwa DC wa Hai na mkurugenziccm na wengineo

..Mbowe ni kati ya wapinzani moderates na wavumilivu sana.

..Sasa Magufuli kwenda kumshambulia kunaonyesha jinsi gani asivyojua siasa, na alivyokosa ustaarabu.

..Watanzania tulikosea kumchagua Magufuli kuwa Raisi. Hafai, na hatambui uzito wa nafasi yake.
 
Nenda kwenye Hoja acha mikwara haikusaidii na haisaidii CCM kumbuka hata cyprian Musiba ana mikwara kibao lakini kaishia kumpigia magoti membe na sasa wapo wanakula Dili la kuidhoofisha ACT na kugawa kura tarehe 28 ingawa wananchi wamewashitukia
Hakuna sehemu niliyopiga mkwara.
 
ngome ya mbowe imesambaratishwa kabisa, sidhani kama mbowe anaweza kupata hata kura 100
Mbowe anafutwa rasmi Hai
 
Mbowe alikuwa anashinda Chako ni chako anakunywa konyagi,alikuwa hata bungeni haendi
 
Uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi,kuwatishia wanao/watakaochagua upinzani wazi wazi.Hao NEC ni wabaguzi mno na hawachukui hatua Mzee Baba na CCM yake wanapotenda kinyume cha maadili na kazi yao kubwa ni kuwawinda wapinzani.
 
sema mbowe kamalizwa kisiasa wiki ijayo asahau kuhusu ubunge wa Hai, wiki ijayo watu wanapindua meza mapema asubuhi
 
Ni watanzania wachache sana wanaomwelewa John! Ni mwongo, hakuna dunia hii aisee! Kinachonishangaza mimi, kwa nini watz wanadanganyika namna hii? Mbona ccm wanatuchukulia kuwa ni wajinga kiasi hicho??
mwisho wake ni 28 octoba
 
Huyu mzee anahoro mbaya kama sura yake ilivyo mbaya
sema mbowe kamalizwa kisiasa wiki ijayo asahau kuhusu ubunge wa Hai, wiki ijayo watu wanapindua meza mapema asubuhi

Wachagga wa Hai aise siyo mbumbumbu kama maeneo mengine.....Wachagga nawaaminia na wanajitambua.
Kama ni ushindi kwa CCM lazima waibe...nje ya hapo hawapati kitu!!
Kura za CCM ziko kwa OCD Hai:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…