Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Katiba yetu ingekuwa inalazimisha viongozi wakuu kupimwa afya kwa lazima hasa afya ya akili, hakika majibu ya mzee wetu yangeishangaza dunia
Tena mara mbili kwa mwaka,kama akionekana akiwa na matatizo ya kiafya basi ampishe makamu wake au Jaji mkuu ashike ofisi.Nadhani Katiba inaongelea haya masuala ila tukimtoa Dikteta tunaandika Katiba mpya.
 

Tegemeo la Magufuli na CCM yao Hai ni hili hapa:

 
Uvunjifu mkubwa wa maadili ya uchaguzi,kuwatishia wanao/watakaochagua upinzani wazi wazi.Hao NEC ni wabaguzi mno na hawachukui hatua Mzee Baba na CCM yake wanapotenda kinyume cha maadili na kazi yao kubwa ni kuwawinda wapinzani.
Uwongo wake mpaka anajiaibisha mwenyewe!
Lakini kwa vile hana aibu, anaona sawa tu!
 

Attachments

  • 628163734492718-1.mp4
    994.1 KB
Tulieni dawa iingie vizuri. Jitu hata hospital, maji, masoko, barabara linashindwa kuongea kazi yake kuhamasisha migomo ya kipuuzi nonsense kabisa.. Kwisha habari yake,aendelee kupiga faru John wake tu.Hongera DC. Sabaya, hakika kazi yako ni njema Sana.
 
Tulieni dawa iingie aisee....Ndio mambo ya kampeni haya mlidhania hamtafikiwa ?

Kazi iliyobakia ni October 28th kuwapa kichapo cha MBWA KOKO kwenye Box la kura.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ni watanzania wachache sana wanaomwelewa John! Ni mwongo, hakuna dunia hii aisee! Kinachonishangaza mimi, kwa nini watz wanadanganyika namna hii? Mbona ccm wanatuchukulia kuwa ni wajinga kiasi hicho??
Sasa mnajiona wazima nyie? Ivi nyie ni wa kufukuza wabunge kipindi cha corona alafu mnajiita MNA demokrasia
 
Uwongo wake mpaka anajiaibisha mwenyewe!
Lakini kwa vile hana aibu, anaona sawa tu!

Kichaa aliyepewa silaha bila ya kufungwa mikono.......!!!Ni shidaaaa!!
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    42.6 KB · Views: 1
Bado hapo Miaka 4 alizuia shughuli za siasa akabaki kufanya mwenyewe akijua anadhohofisha upinzani
Mtukufu magufuli kaanza kampeni tokea 2016 anazunguka Nchi nzima akigawa pesa mpaka juzi juzi siku chache kabla ya kampeni kuanza alinunua jogoo kwa Tshs laki moja kule Rufiji na kumwahidia mzee mmiliki wa jogoo kumsajili kuwa baba yake wa hiali
 
Kwaheri Chadema

Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Ndio nyie mnaoitwa wagogo mmebakia kuwa na roho mbaya wakati hata wazee wenu awana hata maji pumbavu.
 
Magufuli Ni mnafiki Sana na huwa anadhani wananchi hawajui kinachoendelea, lakini pia tufahamu Ni kwanini waliamua kufuata bunge live ili wananchi tusisikie kile wabunge wetu wanachochangia
 
H. Kolimba aliposema "CCM IMEPOTEZA DIRA NA MWELEKEO!" mnadhani alikosea? Hawana cha kushika zaidi ya propaganda na siasa za majitaka ambazo wao ndio waasisi wake na zitawagharimu sana sasa na wakati ujao. Kiuhakika hii ni mikambi ya mwisho ya kupapia roho...
 
Hivi kuna mtu bado anamwamini jiwe?
Ni Msukuma Original na Wasukuma wenzake tu ndo bado wanamwamini na kumchagua ndo maana Miradi yote mikubwa inapelekwa Usukumani na mingine Kanda hiyo anayodai ni kwa wapiga kura wake. Asiyenacho mkulima wa Mtwara hata hicho kidogo alichonacho ananyang'anywa kikajenge Chato International Airport karibu na Burigi!
 
Kwa ufupi hawajui walitendalo, unapowadhalilisha wapinzani ndipo unawaongezea kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…