ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,786
- 3,283
wapo vizuri kwani CCM wamejipanga kushinda kwa njia Halali, Nusu Halali na Haramu!GTs,
Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu wamesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi.
Tuendelee kuiunga mkono CCM.
"Uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya ikamilike"Tumia akili na signature yake the state!GTs,
Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu mesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi.
Tuendelee kuiunga mkono CCM.
GTs,
Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu wamesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi.
Tuendelee kuiunga mkono CCM.
No Reforms, No elections.GTs,
Wadau, hakika CCM mpaka sasa iko vizuri mno, maana maadui zetu wamesambaratika, yaani wameishiwa sera mpaka wanasema hawataki uchaguzi.
Tuendelee kuiunga mkono CCM.