CCM na Samia wameogopa nini hadi kupitisha mgombea na mgombea mwenza kibabe, na kinyume cha katiba yao wenyewe mbali na kukosa demokrasia?

CCM na Samia wameogopa nini hadi kupitisha mgombea na mgombea mwenza kibabe, na kinyume cha katiba yao wenyewe mbali na kukosa demokrasia?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka.
Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa?

Je wamefanya hivyo kuogopa nini wakati tunaambiwa mama anaupiga mwingi?

Je hii inazika ndoto za makada wenye ushawishi mkubwa kusahau kabisa kugombea?

Je hii itajenga au kukisambaratisha chama?
Je nini kifanyike?

Je inatoa picha gani kwa vyama vingine?

Je CCM imeishiwa na kuwa ya hovyo na ya kidikteta kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom