Uzi tayari nenda kachukue efu7 yakosamahani sana kwa kueleza ukweli gentleman,
nisamehe bure ndugu
unaona aibu?we ni fundi cherehani sio gentleman? mambo ya uzi jukwaani tena?
mamilioni ya wananchi wanaipenda sana ccm na kwakweli wana imani kubwa na viongozi wa serikali.Mayu....mayu..namulaga..ushing'weng'we.!
Wanakwenda kumshangaa Waziri Mkuu wa Nchi tena ya Muungano wa Nchi mbili asiyejua kuvaa nguo?Poor Dressing Code.Nje ya V8 ni sawa tu na kichaa wakitaa nje ya Mwandamo wa Mwezi.
uko sahihi 100% gentleman,chama cha mapinduzi kimezidi kuwa kinara kwa kulinda utu na uhai wa raia wake tizama leo maokozi ya ndugu zetu walipatwa na mkomo katika vita vya iran walivyo okolewa kimedani na kurudi nyumbani wakiwa na nyuso za furaha
Ewaa sio mbaya, ila huwa ni an innocent neck carrying a empty pumpkin head.Kuna kijana huwa anajisemea, "an innocent neck carrying a pumpkin'
Intelligent businessman nimepatia?
Ndio maana nikakuita uniweke sawa kijana wangu😅😅😅huyo jamaa ndio mwenyewe sasaEwaa sio mbaya, ila huwa ni an innocent neck carrying a empty pumpkin head.
Kama kuwa na akili ingekuwa ni kosa la kufungwa, huyu jamaa angekuwa huru kabisa.Ndio maana nikakuita uniweke sawa kijana wangu😅😅😅huyo jamaa ndio mwenyewe sasa
Sasa kama inapendwa we unakuja kumuandikia nani wakati kwa mujibu wajo kila mmoja anaipenda?shense sanaKuthibitisha hilo,
fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM.
Lakini pia fuatilia mikutano ya katibu wa itikadi na uenezi Taifa ndugu Kenani Kihongosi utaona namna ambavyo wananchi wanajitokeza na kuonyesha mapenzi yao kwa chama, lakini pia uaminifu na imani yao kubwa sana kwa serikali iliyoko madarakani chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Hali hiyo inathibitisha pasina shaka kwamba CCM itatawala na kuiongoza Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo kwasababu CCM ndio tiba na suluhisho la changamoto na matatizo ya wananchi.
View: https://www.youtube.com/live/ptKkX_lQFHU?si=ohjI1fGkU8xD7GaO
Hivi unajua nini huwa kinaendelea kwenye ile mikutano? Ni watu kueleza shida zao wanazozipata chini ya serikali ya ccmKuthibitisha hilo,