CCM na Serikali yake sikivu inapendwa mno na watanzania wote

Kuthibitisha hilo,
fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM.

Lakini pia fuatilia mikutano ya katibu wa itikadi na uenezi Taifa ndugu Kenani Kihongosi utaona namna ambavyo wananchi wanajitokeza na kuonyesha mapenzi yao kwa chama, lakini pia uaminifu na imani yao kubwa sana kwa serikali iliyoko madarakani chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Hali hiyo inathibitisha pasina shaka kwamba CCM itatawala na kuiongoza Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo kwasababu CCM ndio tiba na suluhisho la changamoto na matatizo ya wananchi.

View: https://www.youtube.com/live/ptKkX_lQFHU?si=ohjI1fGkU8xD7GaO

Wadanganye tuu!
 
Hivi unajua nini huwa kinaendelea kwenye ile mikutano? Ni watu kueleza shida zao wanazozipata chini ya serikali ya ccm
Gentleman,
CCM ni tiba, jawabu na suluhisho za matatizo na changamoto za wananchi.

na kwasababu hiyo,
kinachoendelea ni kuhakikisha changamoto za wananchi moja moja na zile za jumla zinatatuliwa na zinamalizwa kabisa
 
Kuthibitisha hilo,
fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM.

Lakini pia fuatilia mikutano ya katibu wa itikadi na uenezi Taifa ndugu Kenani Kihongosi utaona namna ambavyo wananchi wanajitokeza na kuonyesha mapenzi yao kwa chama, lakini pia uaminifu na imani yao kubwa sana kwa serikali iliyoko madarakani chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

Hali hiyo inathibitisha pasina shaka kwamba CCM itatawala na kuiongoza Tanzania kwa miaka mingi mno ijayo kwasababu CCM ndio tiba na suluhisho la changamoto na matatizo ya wananchi.

View: https://www.youtube.com/live/ptKkX_lQFHU?si=ohjI1fGkU8xD7GaO

Binafsi siipendi na kamwe sitoipenda serikali ya ccm
 
Binafsi siipendi na kamwe sitoipenda serikali ya ccm
Gentleman,
serikali sikivu ya ccm inachukia mno umaskini wa kiroho, kifikra na kiuchumi
hata hivyo,
usiwe na wasiwasi, hospitali ya moyo ipo kwaajili ya wenye chuki nonsense moyoni
 
Back
Top Bottom