Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM wanamuogopa Mbowe, sio kweli bali kwa hali ilipofikia inaonyesha wazi CCM wamejitoa hofu na hawamuogopi Mtanzania yeyote yule.
CCM na serikali zake ipo kwenye nukta ya kuwa wanaweza kufanya lolote na chochote na hakuna wa kuwazidi nguvu wala wa kuingia barabarani kupinga jambo lolote, kama dikteta basi Raisi Samia sio dicteta bali Hapa kinaingia Chama kizima kuwa kipona kinatawala kidicteta.
Haya ya kukamata viongozi nahisi ni chuki au mambo ya kukomoana tu na sio kuwa au aliekamatwa ana ushawishi mkubwa,kwani unaweza kuwa na ushawishi mkubwa pale wananchi wanaitikia na kufanya kweli kile unachokiamrisha tuseme unapotoa wito.
Hadi sasa Tanzania haijakuwa na wananchi wanaoweza kuitikia wito kwa maelfu au kwa vile tunaelekea kufikia population ya milioni 57, tuseme bado Tanzania haijakuwa na nguvu au wananchi wa kuitikia wito kwa mamilioni pale serikali inapopotoka na kuvunja katiba ya nchi.
Umma wa waTanzania bado haujawa tishio kwa serikali iliyokuwepo madarakani,Nchi yenye wananchi waliotayari tunaziona na unapotokea wito unakuwa wito wa kufa mtu ,kwa maana kama kufa itabidi wauliwe kwa mamia lakini haurudi nyuma, Tanzania bado mpaka sasa hivi ni Wapemba tu ndio wenye moyo wa kuwa tayari kuitikia wito piga uwa watasimama tatizo WaTanganyika bado wamelala ndio tukaona CCM inawachezea vibaya mno kwani hawawezi kufanya kitu.