Ufahamu tu kuwa Mbowe sio kiongozi wa mwanzo kukamatwa naona wapo kuanzia watatu tunaisabu ni wengi ambao wamewahi kukamatwa wengine kuambiwa wanataka kupindua nchi ambayo adhabu yake haina utata,ni kifo.Kesi ya mbowe ni last card
Wengine wanasema mwenge ni zindiko la CCM ambalo hupumbaza akili za Watanzania.Wengine husema elimu ya uraia haijatolewa ya kutosha, wengine husema ni uoga, nakubaliana na sababu ya pili, uoga, kusubiri wengine wafanye kwa niaba yetu, jumuia ya kimataifa inatuzubaisha na kutudumaza akili.