Mdaiwa-Sugu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 284
- 912
CCM haijatoa ajira mpya tangu iaminiwe na Watanzania 2015.CCM imetengeneza ajira milion mia moja na hamsini
Propaganda ya namna hii hata shetani hawezi kuikubaliCCM imetengeneza ajira milion mia moja na hamsini
Nchi imebomolewa wapi nyie wa Ufipa?!CCM badala ya kujenga nchi wanabomoa. Nchi ni watu.
Wakilima kuna utaratibu uliopangwa wa soko la mazao yao? Au walime ili muwapoke korosho zao.Vijana walidekezwa sana..eti kila akimaliza chuo anasubiri post,ulikuwa upotevu mkubwa wa hela..vijana wakawa wanaishia maofisini tu,,nani akalime sasa?
Ajira za nyokoooCCM imetengeneza ajira milion mia moja na hamsini
Ukilima wewe inatosha. hatuwezi kuwa na nchi ya wakulima watupu; tunahitaji wataalamu wa kutosha katika utumishi kama madaktari wawepo wa kutosha kwenye mahospitali wakitoa huduma kwa raia; pawepo walimu wa kutosha wa kutufundishia watoto wetu shuleniVijana walidekezwa sana..eti kila akimaliza chuo anasubiri post,ulikuwa upotevu mkubwa wa hela..vijana wakawa wanaishia maofisini tu,,nani akalime sasa?
Madaktari wanatosha,,tiba za asili si zipo,,kwa mfano huku geita,hatuhusudu sana mambo ya hospitali,wakati waganga wapo wa kutosha,Ukilima wewe inatosha. hatuwezi kuwa na nchi ya wakulima watupu; tunahitaji wataalamu wa kutosha katika utumishi kama madaktari wawepo wa kutosha kwenye mahospitali wakitoa huduma kwa raia; pawepo walimu wa kutosha wa kutufundishia watoto wetu shuleni
Unasubiriwa na fikra za kizamani Mungu akusaidie angalau upate akili kidogo uondokane na ujinga ulojaza kichwaniMadaktari wanatosha,,tiba za asili si zipo,,kwa mfano huku geita,hatuhusudu sana mambo ya hospitali,wakati waganga wapo wa kutosha,
Walimu nao wameshatosha,hakuna sababu ya kupoteza pesa kuajiri wengine,
Mafundi wa mabarabara,tutaweka kampuni za kichina au uturuki watafanya kazi
Hata Ulaya na USA ajira ni tatizo nduguKati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi.
Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza.
Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni sababu yetu sisi.
Kwa miaka minne tumewatelekeza mitaani kama kuku wa videri; tumeua future zao; tumewaua kisaikolojia; tumewatoa kwenye reli hadi baadhi wamekata tamaa wameamua kuwa walevi wa gongo na wavuta bangi.
Uchaguzi umefika tutawaeleza nini hawa vijana watuelewe na watuchague?
Tutawashawishi vipi wazazi wao waliowasomesha kwa shida ili watuamini na watuchague?
Tutawambia tumenunua ndege?
Tutawambia tunajenga SGR?
Tutawambia tunajenga daraja la Busisi?
Tutawambia tumejenga flyover?
Wana CCM wenzangu; 'maendeleo ya vitu bila kuboresha maendeleo ya watu ni sawa na kazi bure'
Kwakuwa tumelikoroga kwa miaka minne sasa muda wa kulinywa umewadia.