CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

CCM na Spika Ackson hili la hawa Wabunge 19 wa CHADEMA msipoangalia litawachafua na kufanya muonekane ni 'Majuha' wa Kutukuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tayari wenye Chama chao CHADEMA wameshawafuta rasmi nyie CCM kupitia Spika Ackson mnafanya hila za Kipopoma ( Kipumbavu ) za Kisheria ili muwabakize Bungeni.

Najua CCM na System mnahangaika na hili ili Kumfutia Aibu Spika Ackson ambaye kwa Kiherehere chake alilikoroga kwa Kukurupuka Kuwatetea wakati hata hakuwa na Ufahamu nao wa Kiundani.

Kwahiyo mmeamua Waende Mahakamani kufungua Kesi kisha kwakuwa Serikali ni yenu muwe mnailazimisha Mahakama na Mahakimu mnaowamudu wawe kila mara wanaihairisha hii Kesi ili mradi tu wafike hadi 2025 ila kwa sasa muendelee kuwa nao Bungeni?

Msidhani Watanzania wote ni Majuha.
 
Back
Top Bottom