Elections 2010 Ccm na ushindi wa kishindo wa 80%

CCM itashinda viti vingi vya ubunge, my bet >70%. Kiti cha uraisi pia CCM itashinda around 70% (+/- 5%).
 
Wengi wenu mko kwenye jamii forums mkidanganyana na hamjui kinachoendelea. Saa chache zilizopita KINANA maetangaza kuwa CCM imepoteza majimbo 29 Bara na 22 Zanzibar na kufanya jumla ya majimbo iliyopteza kuwa 51. Kwa maana kuwa CCM imepata asilimia 78 na upinzani 22. Huu ni kwa mtazamo wa CCM siyo Tume. Kwenye TV Kinana amekiri kuwa upinzani umefanya vizuri kwani umeongeza majimbo 23 kutoka sita ya mwaka 2005 kwa upande wa Bara na kuongeza majimbo matatu kwa upande wa Zanzibar kutoka 19 ya mwaka 2005 hadi 22 ya sasa.

Kinana wakati anazugumza na Press alikuwa sobber sana. Ametulia tuli. Huyo ndiye anayefaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
 
Kwa tulizopata ni mtaji tosha,sisiem wanafikiri tunahitaji majimbo 100 ili tuweze kuwakaba? Zinatosha sana na ccm itashika adabu tu,wabunge wangapi walianzisha sakata la EPA?tena mtu hadi aliitwa mwendawazimu mwisho ikawaje?endeleeni kulala hivyo hivyo, tatizo ccm vilaza wengi walianza kuamka baada ya Slaa kuanza kutuma makombora ya kweli ndo kina Killango wakaja kama upepo.Mnatakiwa kujua ccm inayaficha mengi maovu hata wizi huu wanaoufanya sasa utagundulika tu haiwezekani JK akawa amepata wingi wa kura kama inavyotangazwa kwenye majimbo ambayo yameshamaliza kuhesabu kura,halafu sehemu slaa alitangazwa anaongoza kura wanazotangaza aibu!
 
ha ha ha ha
some guys are talking like the fellow attached below
shame on you.....
 

Attachments

  • CHAPOMBE.jpg
    8.1 KB · Views: 33

HAPO NAONA CHAKACHUA KWA KWENDA MBELE, HAWA JAMAA HAWAFAI AISEE!!!:nono:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…