Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,408
- 4,392
fara wewe
Umeingia javini vibaya, tumia zaidi hekima yako katika kumwelimisha mtu si matusi. Jamvi hili ni la wastaarabu:nono:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fara wewe
Jamani Kazi Bado sana, CHADEMA isibweteke kwa ushindi huu iliopata mpaka sasa ikajisahau na kuacha kura za uraisi kuchakachuliwa. Tuendelee kukaza Buti mpaka Kieleweke katika majimbo yaliyobakia na katika Uraisi. Kwa jinsi hali ilivyo Itakua miujiza maajabu na mazingaombwe kwa JK Kushinda.
Tatizo CCM walishindwa kusoma alama za nyakati. Watavuna walichopanda. Kama walipanda Ufisadi wacha wavune wanachostahili....Tehe Tehe tehe...
VIVA CHADEMA