Wana CCM sasa hawana amani na chama chao, wamekochukia chama chao,wameishiwa kiherehere wamekaa hawaamini yanayo endelea wamebaki kulalamika chinichini tu
Hii ndio faida ya kile mnacho sema na kuimbiana kwamba chama kwanza taifa badae mkiaminishana mnawakomoa CHADEMA huu ni mfumo mlio uasisi wenyewe na mkaupigia debe sana sasa kibao kimegeuka mnakulana wenyewe mlitanguliza UCCM mbele mkaachana nanuzalendo kwa taifa na wananchi wake
Sasa mnaaminishana madai ya haki ni ya CHADEMA na sio ya wananchi sawa endeleeni