Kuna msiba wa gen z alouawa jamaa wa ccm alikimbizwa nusu atumbukie mtaroni na jitambi lake.Dhoruba la siku 2 tatu hakuna mwanaccm anathubutu kuvaa sare ya ccm, wala kushangilia ushindi wa hadaa kama huko nyuma. Ilikuwa ni hatari kujitambulisha kama mwanachama wa upinzani hasa hasa cdm, ila kwa sasa ni risk pia kutambulika kama mwanaccm.
mpka sasa pikipiki za mama samia hazipo kabsa mtaani, hata wao wenyewe hawazitakii
Usiumize G55 ni matokeo ya siasa chafu za nchi hii. washalipwa chao sasa wametulia.CCM ni taasisi. Maamuzi yangekuwa yanafanyika kuanzia kwenye mashina huko hadi Taifa ingekuwa rahisi kusema wana CCM wengi muelekeo wao unaufahamu.
Kwa mfumo wa maelekezo kutoka juu kuja chini unaweza kuwa unawazungumzia kama vile wako milioni 30, kumbe wenye maamuzi hawazidi 10.
Tuna mengi ya kujifunza.
Hiyo CHADEMA waliyotoka wale G55 nayo ni changamoto tu, jiulize wale ni Taifa mbele au fursa mbele?
Kazi ipo kweli kweli kuongoza maskini hasa maskini ambao elimu haijawakomboa.