GE2025 CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijani!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo?

Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii😝😝

Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea kubwa!
======================

Moja ya Kijana wa CCM akieleza hisia zake kwa chama hicho hadi akisadiki kusema CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijani” na tena anaongea kwa mashitatiti

Kwahiyo Mkuu unawaambiaje akina Lucas Mwashambwa johnthebaptist Dr wa Manesi Sexless Lucha ChoiceVariable chiembe Tlaatlaah Jingalao Malaria 2 FaizaFoxy :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
 
Back
Top Bottom