Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwa nini?Moja ya Kijana wa CCM akieleza hisia zake kwa chama hicho hadi akisadiki kusema CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijaniโ
Duuh hatari.Moja ya Kijana wa CCM akieleza hisia zake kwa chama hicho hadi akisadiki kusema CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijaniโ
Kwahiyo Mkuu unawaambiaje akina Lucas Mwashambwa johnthebaptist Dr wa Manesi Sexless Lucha ChoiceVariable chiembe Tlaatlaah Jingalao Malaria 2 FaizaFoxyHivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo?
Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii๐๐
Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea kubwa!
======================
Moja ya Kijana wa CCM akieleza hisia zake kwa chama hicho hadi akisadiki kusema CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijaniโ na tena anaongea kwa mashitatiti
Umenimiss?Kwahiyo Mkuu unawaambiaje akina Lucas Mwashambwa johnthebaptist Dr wa Manesi Sexless Lucha ChoiceVariable chiembe Tlaatlaah Jingalao Malaria 2 FaizaFoxy
Nani anamiss chawa bana๐๐๐Umenimiss?
Ngoja nilete mahari kwenuNani anamiss chawa bana๐๐๐