Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
CCM imejiupgrade ubabe
CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire .
Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka unadhani nini kitarajiwacho hapo?
CCM ya Babu yangu Bye-bye
Kwa muundo wa siasa za Tanzania na zilipofikia zinatoa ishara ya wazi kuwa huko tuendako siyo tu haitahitegemea tena kura za wanainji ili iendelee kubakia madarakani bali hata tu kuwa mwanachama wa CCM ni wao ndiyo watakaochagua nani awe na nai asiwe kwa kutokana na vigezo watakavyokuona vinafaa.