CCM nambari wani

Na wakati wanafunzi wakisomea chini ya miti, kuna MATUTUSA kule Dodoma wanatafuna 300,000 kwa siku bila sababu zozote za msingi....inauma sana! Ee Mungu tunasue kutoka ukoo huu wa panya mwaka 2015. Amina.
 
Haya mimi chizi wewe una akili timamu tuone itakusaidia nini tpaul !!! unabishana na ukweli mwisho wake ni aibu. Mimi ni Mtanzania mzalendo mwenye uchungu na nchi yangu. Kamwe siwezi kuongozwa na mawazo ya kijinga
 
Attachments

  • 1410860207669.jpg
    3.3 KB · Views: 134
Last edited by a moderator:
Haya mimi chizi wewe una akili timamu tuone itakusaidia nini tpaul !!! unabishana na ukweli mwisho wake ni aibu. Mimi ni Mtanzania mzalendo mwenye uchungu na nchi yangu. Kamwe siwezi kuongozwa na mawazo ya kijinga

uzalendo wa kutupa maoni ya wananchi na kuingiza maoni batili ya tume ya sita ? Hivi kuna mzalendo wa kweli nchi HII BADO YUPO CCM ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakati TANU (Baba wa CCM) inapigania uhuru, CHADEMA ilikuwa wapi?

Jini likujualo halikuli likakuisha.

CCM ni yetu, na sisi ni wa CCM.
 
pamoja na kushindwa kila mahali bado wanaendelea kushindwa hata kwenye katiba mpya !
 
Ndugu zangu, hii nchi inahitaji kiongozi DIKTETA ili kuirudisha kwenye mstari. Hawa mafisi wa CCM wameitafuna nchi hadi imebaki mifupa na bado wanazidi kupasua hata mifupa ili kupoteza ushahidi wa ulafi wao. Hivi ni lini hawa VULTURES wa CCM wataacha kutafuna mali za nchi hii? Kila nikitafakari namna tutakavyotoka hapa CCM ilipotufikisha kichwa huniuma sana. Ndugu wananchi, chondechonde amkeni tukawatoe hawa panya kwenye kihenge mwaka 2015. Vinginevyo, tutazidi kulia hadi Yesu atakaporudi.

View attachment 191017
 
Pole sana sana
Leo mnaikana CCM haijafanya lolote kwa watanzania najua nafsi zenu zinawasuta ndio maana yule babu slaa ameitunza vizuri kadi yake ya CHAMA CHA MAPINDUZI anajua alipotokea
 
Erythrocyte huna uzalendo mawazo yako ni kupinga kila kilichofanywa na chama tawala bila kuangalia maslahi ya taifa letu
 
Last edited by a moderator:
Erythrocyte huna uzalendo mawazo yako ni kupinga kila kilichofanywa na chama tawala bila kuangalia maslahi ya taifa letu

Kama dhiki hii ni uzalendo , niko tayari kuukana uzalendo huu , MNADHANI MTATUBURUZA HADI LINI ? HIVI HII NI HALI YA KUJIVUNIA KWELI? MUOGOPENI MUNGU NYIE JAMAA BHANA ! UTANIMALIZA MIMI LAKINI WATAZUKA WENGINE
 
Last edited by a moderator:
Erythrocyte huna uzalendo mawazo yako ni kupinga kila kilichofanywa na chama tawala bila kuangalia maslahi ya taifa letu

hao Wanaokwapua Mali Za Umma Ndio Wazalendo ? Magamba ni shidaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…