Jamani inatia huruma hivi hawa viongozi wanapoona hivi wanajisikiaje lkn manake wengi wao wana dini . Hivi wakienda kuabudu huyo Mungu huwa wanamueleza nini
Jamani inatia huruma hivi hawa viongozi wanapoona hivi wanajisikiaje lkn manake wengi wao wana dini . Hivi wakienda kuabudu huyo Mungu huwa wanamueleza nini kuna watu wakifika jehanamu itazimika kwakweli
Jana usiku nilikuwa naangalia "kipindi maalumu" ITV. Nchi hii imeoza, uchafu kila kona na hamna anaejali, njia za maji machafu hakuna lakini viongozi wanapita njia hizo hizo kila siku. Mvua ya dk 20 ni mafuriko tayari.
Sitaki kuamini kama nchi imelaaniwa, ninachojua viongozi wa CCM wana laana.
We acha tu rafiki yangu na hii ndio Dar kinyesi na maji machafu ndani ya jiji mtindo mmoja, na hawa wadhalimu bado wanatumia mabavu kubaki madarakani. Yaani kinyaa cha hali ya juu. Halafu wenyewe wanajiita eti ``Serikali sikivu`` Sijui wanausikivu gani ikiwa hili tatizo la mafuriko ni zaidi ya miaka 20 sasa na hakuna mikakati yoyote ya kupambana nalo si kesho wala kesho kutwa.
Picha inachekesha na kuhuzunisha. Halafu mbona viatu vyao vimejaa vumbi....lol
aibu ona wewe erythrocyte mimi natetea kile ninachoamini nawe tetea unachoamini tusizuiane kutoa mawazo tuwaachie watu wasome wenyewe