CCM nambari wani

CCM nambari wani

Last edited by a moderator:
Jamani inatia huruma hivi hawa viongozi wanapoona hivi wanajisikiaje lkn manake wengi wao wana dini . Hivi wakienda kuabudu huyo Mungu huwa wanamueleza nini kuna watu wakifika jehanamu itazimika kwakweli
 
We acha tu rafiki yangu na hii ndio Dar kinyesi na maji machafu ndani ya jiji mtindo mmoja, na hawa wadhalimu bado wanatumia mabavu kubaki madarakani. Yaani kinyaa cha hali ya juu. Halafu wenyewe wanajiita eti ``Serikali sikivu`` Sijui wanausikivu gani ikiwa hili tatizo la mafuriko ni zaidi ya miaka 20 sasa na hakuna mikakati yoyote ya kupambana nalo si kesho wala kesho kutwa.

Jamani inatia huruma hivi hawa viongozi wanapoona hivi wanajisikiaje lkn manake wengi wao wana dini . Hivi wakienda kuabudu huyo Mungu huwa wanamueleza nini
 
Hakukosea kabisa yule Kingunge Ngombale Mwiru alipotoa kauli juzi kwamba wote waliojitokeza kutoka MACCM hadi sasa kugombea Urais hawana sifa hata moja ya kuiongoza nchi yetu.
 
Jana usiku nilikuwa naangalia "kipindi maalumu" ITV. Nchi hii imeoza, uchafu kila kona na hamna anaejali, njia za maji machafu hakuna lakini viongozi wanapita njia hizo hizo kila siku. Mvua ya dk 20 ni mafuriko tayari.
Sitaki kuamini kama nchi imelaaniwa, ninachojua viongozi wa CCM wana laana.
 
Jamani inatia huruma hivi hawa viongozi wanapoona hivi wanajisikiaje lkn manake wengi wao wana dini . Hivi wakienda kuabudu huyo Mungu huwa wanamueleza nini kuna watu wakifika jehanamu itazimika kwakweli

NANI KAKUDANGANYA KWAMBA VIONGOZI WA CCM WANAENDA KWENYE NYUMBA ZA IBADA KUOMBA MUNGU , KWA SHIDA GANI ? UKiWAONA UJUE WAMEKUJA KUTAFUTA KUUNGWA MKONO TU , KUNA MAKANISA MENGINE YAMETENGA VITI MAALUM VYA KUKAA VIONGOZI TU ! K.A .JAMBA NANI WENGINE WOTE KWENYE MABENCHI YA MBAO ! MUNGU ANAOMBWA NA MASIKINI WANAOSAKA MAFANIKIO , HAWA WALIOFANIKIWA WAOMBE NINI TENA ? TANZANIA oYEEE !
 
Jana usiku nilikuwa naangalia "kipindi maalumu" ITV. Nchi hii imeoza, uchafu kila kona na hamna anaejali, njia za maji machafu hakuna lakini viongozi wanapita njia hizo hizo kila siku. Mvua ya dk 20 ni mafuriko tayari.
Sitaki kuamini kama nchi imelaaniwa, ninachojua viongozi wa CCM wana laana.

ubarikiwe sana .
 
tpaul usipate shida ya kunipongeza,
wakati mwingine tunaangalia maslahi ya kitaifa zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Sie tumekalia kiduku tuu
ImageUploadedByJamiiForums1421215883.950748.jpg
Na mkilalamika sana wanasema "ni upepo tuu utapita" na kuangua vicheko.
ImageUploadedByJamiiForums1421215959.345010.jpg
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
We acha tu rafiki yangu na hii ndio Dar kinyesi na maji machafu ndani ya jiji mtindo mmoja, na hawa wadhalimu bado wanatumia mabavu kubaki madarakani. Yaani kinyaa cha hali ya juu. Halafu wenyewe wanajiita eti ``Serikali sikivu`` Sijui wanausikivu gani ikiwa hili tatizo la mafuriko ni zaidi ya miaka 20 sasa na hakuna mikakati yoyote ya kupambana nalo si kesho wala kesho kutwa.

Unajua ndugu yangu BAK kuna kitu huwa kina nitatiza sana. Hivi pamoja na hayo yote ambayo yanawagusa waziwazi watu wa maisha ya kawaida na ukiachana na yale makubwa kama Escrow, EPA nk ambayo unaweza kusema mtu wa kawaida anaweza asielewe, inakuwaje wapo watu wanaiunga mkono CCM tena hapo Dar? Nenda Ilala,Tandale, Temeke,Yombo na kwingineko ambako adha hizi zipo kila kukicha na hatua hazichukuliwi lakini itisha mkutano wa CCM bado kuna watu tena hao hao ambao wanabebana kwenye watatoa kanga na Tshirt zao masandukuni kuwahi mkutano tena kwa furaha?
Hebu nisaidieni kuniondoa katika utata huu.
 
Last edited by a moderator:
aibu ona wewe erythrocyte mimi natetea kile ninachoamini nawe tetea unachoamini tusizuiane kutoa mawazo tuwaachie watu wasome wenyewe

ndugu yangu laiza, wewe unatetea kile unachokiamini au kile kinachokunufaisha wewe na watanzania wote kwa ujumla? kwa hivyo kama unaamini kwamba mavi ni chakula utayala, hata kama yakikudhuru? inawezekana unatania, hujitambui au umejitoa akili. sina uhakika kwamba unaweza ukawa unatetea kitu unachokiamini bila kuzingatia madhara hasi ya kitu hicho kwako na jamii nzima kama vile unavyoitetea CCM bila kujali kwamba CCM imechangia kwa 101% kudidimiza maisha ya watanzania, kuwanyonya na kuwafukarisha. watu wa aina yako ndio mnaosababisha nchi hii isipate ukombozi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
We acha tu rafiki yangu na hii ndio Dar kinyesi na maji machafu ndani ya jiji mtindo mmoja, na hawa wadhalimu bado wanatumia mabavu kubaki madarakani. Yaani kinyaa cha hali ya juu. Halafu wenyewe wanajiita eti ``Serikali sikivu`` Sijui wanausikivu gani ikiwa hili tatizo la mafuriko ni zaidi ya miaka 20 sasa na hakuna mikakati yoyote ya kupambana nalo si kesho wala kesho kutwa.

mkuu BAK, viongozi wa CCM kuanzia mashinani hadi taifani wameoza na wamelaaniwa! hebu msikilize huyu hapa:
======================================================================================================
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
======================================================================================================
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom