CCM nambari wani

magufuli atabadilisha kila jambo
ataleta maisha nafuu na mazuri kwa wote,..
Ataleta ajira....
Vitu bei rahisi....
Na kila jambo litakuwa sawa!
Mkuu utabiri wako umetimia au tusubiri kidogo?
 
CCM watatuua. Baada ya kutubebesha mizigo mizito na kutuvutisha magogo kwa muda mrefu, sasa wamekuja tena na tozo kandamizi za miamala kwa wanyonge. Ifike wakati wabunge wa CCM waliorundikana mle bungeni nao waanze kulipa kodi ili wajue uchungu wa kulipa kodi; sio kila siku wanawabebesha mizigo wanyonge tu.
 

walisema wanataka walipwe kwa dora kama south ilo ndiyo bunge la kijani
 
Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…