Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maCCM ni NDOROBO, MALOFA & MAPUMBAVU. hv majitu haya yanataka tutopee kwenye umasikini mpaka lini?
Ni Watunzi wazuri sana hawa ili utunzi wao uandikwe magazetini na kutangazwa kwenye TV na redioni kisha hakuna wanalolifanya.
Hv zile mamilioni ya kikwete ziliishia wapi
tpaul lazima utakuwa mkanda wa ukanda. kwa akili yako unafikiri hata ukawa mkipewa nchi kwa miaka 20 mtaumaliza umaskini? sana sana ndo mtatuongezea zaidi umaskini na kutuibia mara dufu ya sasa. Kwanza chama chenu cha chadomo kimekaa kikanda zaidi na kikabila kitu ambacho ni hatari sana kwa nchi yetu. Naamini baada ya uchaguzi huu mtasambaratika kwani mipango yenu ni chukizo kwa mungu aliyeiumba nchi hii. Tunaona juhudi zenu za kishetani kuivuruga nchi lakini hamtofanikiwa kamwe.
Una cheo gani ccm ?magufuli atabadilisha kila jambo
ataleta maisha nafuu na mazuri kwa wote,..
Ataleta ajira....
Vitu bei rahisi....
Na kila jambo litakuwa sawa!
Hatimaye Mungu amesikia kilio chako .inaniuma sana kila nikiwaza jinsi ambavyo ccm imenifanya mjinga na mpumbavu kwa zaidi ya miaka 20 ya uhai wangu...sasa nimejitambua siwezi kufanya kosa kutoa kura yangu kwa ccm nasikia uchungu hadi machozi yananitoka...ni muda wa MABADILIKO
Una cheo gani ccm ?
Kwi! Kwi! Kwiiii!!!!! Pole sana mkuu , uzi huu umechanganya lumumba yote wala sikushangai wewe kuchanganyikiwa .Una matatizo wewe, kwani nyie mlioko huko mna vyeo nyote? mna vyeo gani? na wewe cheo chako Ukawa ni kipi?
NI KWELI HAWA WANA PEPO CHafu la ngono, mauaji ya albino na kafara kwa watu waoBila aibu wala haya bado wanagombania kutuongezea miaka mingine 5 ya dhiki, taabu za kila aina na ufukara wa kutisha zaidi... CCM ni mapepo machafu ...
Umeandika kwa uchungu mno ! pole sana mkuu .Tatizo lililopo ni kwamba sisi watu Wa mjini tunajiangalia sisi kama sisi na matumbo yetu,wakati tuna ndugu zetu wengi vijijini wanamatatizo yasioelezeka,kuna watu hata chai hawaijui wanashindia uji chupu chupu inauma sana hata hao wanaojifanya kuitetea CCM wametokea huko na wanawadogo,wajomba,bibi,babu nk, lakini bila aibu wala uchungu wanawakana kata kata hivi bila kuwasaidia mnadhani watasaidiwa na nani?tuweni na huruma japo kidogo jamani huko ndiko chimbuko letu lilipotokea,hawapendi kuwa na maisha magumu wanayoishi ila hawana jinsi,
Tuwasaidie kwa kumtokomeza KUPE anayeitwa CCM pamoja tutashinda.