CCM nambari wani

CCM nambari wani

Yaani hadi roho inaniuma kwa madhambi haya wanayofanyiwa wananchi halafu bado mtu uipe tena kura mwaka huu? To me is a big NO
 
Ni hivi , kabla hujafanya uamuzi maana zimebaki siku 2 tu , hebu pitia uzi huu kwa makini na kama kweli unamuogopa Mungu huwezi kuthubutu kuchagua ccm.
 
10672036_746287978810237_3274281751880828886_n.jpg
 
tpaul lazima utakuwa mkanda wa ukanda. kwa akili yako unafikiri hata ukawa mkipewa nchi kwa miaka 20 mtaumaliza umaskini? sana sana ndo mtatuongezea zaidi umaskini na kutuibia mara dufu ya sasa. Kwanza chama chenu cha chadomo kimekaa kikanda zaidi na kikabila kitu ambacho ni hatari sana kwa nchi yetu. Naamini baada ya uchaguzi huu mtasambaratika kwani mipango yenu ni chukizo kwa mungu aliyeiumba nchi hii. Tunaona juhudi zenu za kishetani kuivuruga nchi lakini hamtofanikiwa kamwe.
 
magufuli atabadilisha kila jambo
ataleta maisha nafuu na mazuri kwa wote,..
Ataleta ajira....
Vitu bei rahisi....
Na kila jambo litakuwa sawa!
 
inaniuma sana kila nikiwaza jinsi ambavyo ccm imenifanya mjinga na mpumbavu kwa zaidi ya miaka 20 ya uhai wangu...sasa nimejitambua siwezi kufanya kosa kutoa kura yangu kwa ccm nasikia uchungu hadi machozi yananitoka...ni muda wa MABADILIKO
 
tpaul lazima utakuwa mkanda wa ukanda. kwa akili yako unafikiri hata ukawa mkipewa nchi kwa miaka 20 mtaumaliza umaskini? sana sana ndo mtatuongezea zaidi umaskini na kutuibia mara dufu ya sasa. Kwanza chama chenu cha chadomo kimekaa kikanda zaidi na kikabila kitu ambacho ni hatari sana kwa nchi yetu. Naamini baada ya uchaguzi huu mtasambaratika kwani mipango yenu ni chukizo kwa mungu aliyeiumba nchi hii. Tunaona juhudi zenu za kishetani kuivuruga nchi lakini hamtofanikiwa kamwe.

Uzi huu ni mwiba mkali sana lumumba maana umekusanya mateso yote wanayopata wananchi kutokana na ccm , kwahiyo tunategemea mapovu zaidi kutoka kwa watoto wa viongozi wale wanaofaidika na mfumo huu mbovu .
 
inaniuma sana kila nikiwaza jinsi ambavyo ccm imenifanya mjinga na mpumbavu kwa zaidi ya miaka 20 ya uhai wangu...sasa nimejitambua siwezi kufanya kosa kutoa kura yangu kwa ccm nasikia uchungu hadi machozi yananitoka...ni muda wa MABADILIKO
Hatimaye Mungu amesikia kilio chako .
 
Una matatizo wewe, kwani nyie mlioko huko mna vyeo nyote? mna vyeo gani? na wewe cheo chako Ukawa ni kipi?
Kwi! Kwi! Kwiiii!!!!! Pole sana mkuu , uzi huu umechanganya lumumba yote wala sikushangai wewe kuchanganyikiwa .
 
Tatizo lililopo ni kwamba sisi watu Wa mjini tunajiangalia sisi kama sisi na matumbo yetu,wakati tuna ndugu zetu wengi vijijini wanamatatizo yasioelezeka,kuna watu hata chai hawaijui wanashindia uji chupu chupu inauma sana hata hao wanaojifanya kuitetea CCM wametokea huko na wanawadogo,wajomba,bibi,babu nk, lakini bila aibu wala uchungu wanawakana kata kata hivi bila kuwasaidia mnadhani watasaidiwa na nani?tuweni na huruma japo kidogo jamani huko ndiko chimbuko letu lilipotokea,hawapendi kuwa na maisha magumu wanayoishi ila hawana jinsi,
Tuwasaidie kwa kumtokomeza KUPE anayeitwa CCM pamoja tutashinda.
 
Bila aibu wala haya bado wanagombania kutuongezea miaka mingine 5 ya dhiki, taabu za kila aina na ufukara wa kutisha zaidi... CCM ni mapepo machafu ...
NI KWELI HAWA WANA PEPO CHafu la ngono, mauaji ya albino na kafara kwa watu wao
 
Tatizo lililopo ni kwamba sisi watu Wa mjini tunajiangalia sisi kama sisi na matumbo yetu,wakati tuna ndugu zetu wengi vijijini wanamatatizo yasioelezeka,kuna watu hata chai hawaijui wanashindia uji chupu chupu inauma sana hata hao wanaojifanya kuitetea CCM wametokea huko na wanawadogo,wajomba,bibi,babu nk, lakini bila aibu wala uchungu wanawakana kata kata hivi bila kuwasaidia mnadhani watasaidiwa na nani?tuweni na huruma japo kidogo jamani huko ndiko chimbuko letu lilipotokea,hawapendi kuwa na maisha magumu wanayoishi ila hawana jinsi,
Tuwasaidie kwa kumtokomeza KUPE anayeitwa CCM pamoja tutashinda.
Umeandika kwa uchungu mno ! pole sana mkuu .
 
Siwezi kubadili maamuzi yangu ya j2 kumpigia kura lowassa. Nimefunga kwa ajili yake na naomba mungu usiku na mchana ili lowassa ashinde.
Mazingira ninayoishi, kibaruan na sehem kubwa ya wanaonizinguka wako upande wa pili. Mm2 ndio namshabikia lowassa

Mungu baba naomba simama upande wangu na simama upande wa lowassa na UKAWA. Naamin hakuna kinachoshindikana kwako baba. Mjaalie lowassa awr rais wa tz wa awam ya5.
Naamin yote yanawezekana kwa nguvu zako
 
Back
Top Bottom