CCM nambari wani

CCM nambari wani

Kuwa Houseboy Mbezi Beach hakukufanyi usahau ulikotoka kijijini kwa babu na baba yako Mkuu... Wenzio wanazunguka nchi nzima, wanaongelea maisha halisi ya walipa kodi wa Tanzania! Wewe unafagilia investments za Mafisadi na Wauza Sembe wachache!!! Idiot ...panda basi kutoka Dar hadi Kigoma Ujionee watu wanaishi kwenye vichuguu mnaita tembe!!! Utajiri wa nchi haulingani na Umasikini wa wananchi walio wengi! Hata M/Kiti wako ameliongelea akiwa Marekani kwa boss wake/wenu...
Kwenye kundi la plato mimi ni golden boy ndungu,nikudokeze kitu watanzania sasa wana maisha mazuri kwa mfano mimi naishi mbezi beach dar watu wana magari mazuri na majumba, ccm imewafanikisha kuwapatia miundo mbinu bora kupitisha magari yao. Nenda pale makongo juu,nenda mwenge pale mlimani city utawakuta watanzania wenye tabasamu wenye afya njema wana magari ya kifahari
 
mm.JPG

Hapa mmarangu koko anayekaa mbezi atakuambia sio tanzania ni malawi
 
Haya ndiyo mafanikio ya CCM wanayoimba kila siku. Wanadhani kwamba kila mwananchi ni mbumbumbu kama misukule wa Lumumba. Tukikutana 2015 lazima watatusalimia kwa heshima kama hivi:
View attachment 176607

wapende wasipende siku hii yaja tena upesi siku ya DAUDI kumwangusha GOLIATH kwa jiwe la KOMBEO
 
Thread bora kabisa kuwahi kutokea hapa jf. Umenigusa sana mimi mtu wa kijijini, ila ongezea na nondo zingine kuhusu wafanyakazi hasa walimu. Ubarikiwe sana.

Mkuu, sula la walimu ni mtambuka. Walimu ndio kundi la wafanyakazi wanaotumikishwa kama punda katika nchi hii. Imagine mwalimu anafundisha darasa moja lenye wanafunzi 150....sasa ngoma inakuja pale anapotoa homework kwa wanafunzi wake....kusahihisha madaftari yote 150 yenye maswali 20 kila moja (sawa na jumla ya maswali 3,000) hapo ndipo kuna shughuli pevu.

Lakini tukumbuke kwamba na walimu nao wamekuwa wakitumiwa sana na maCCM kuiba kura, kwa hiyo sio wa kuwaonea huruma sana kwa kuwa matatizo haya wakati mwingine wanajitakia wao wenyewe!
walimu wakisahihisha mlima wa madaftari.jpg
 
Mkuu tpaul unatisha kama mvua...una chakaza chakaza magamba, waalimu sio wakuonea huruma hata kidogo..wao ndio wasaidizi wakuu wa magamba kuiba kura wakati wa upigaji wa kura
 
Hebu nyie wanaLumumba tuambieni JK ametekeleza ahadi ngapi kati ya hizi alizoahidi mwaka 2010 wakati anatafuta kura za kumrejesha magogoni kwa awamu ya pili. Sio mnakuja na majibu myepesi kama waimba taarabu:
*******************************************************************************************************
Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora

2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini

3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga

4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga

5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma

6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini

7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma

8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera

9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera

10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini

11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini

12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera

13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera

14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera

15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya

16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera

17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali

18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza

19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza

20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita

21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba

22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro

23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini

24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa

25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea

26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya

27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga

28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa

29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro

30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini

31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora

32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu

33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini

34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara

35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma

36. Kulinda haki za walemavu - Makete

37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini

38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha

39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini

40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora

41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini

42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma

43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido

44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga

45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini

46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma

47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido

48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro

49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara

50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini

51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini

52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa

53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa

54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa

55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda

56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara

57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa

58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar

59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar

60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti

61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma

62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma

63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma

64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma

65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam

66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara

67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha

68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha

69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
*******************************************************************************************************
View attachment 176626
 
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido

Hakuna ahadi hata moja.ametekeleza...kikwete ni janga la taifa
 
Mkuu tpaul unatisha kama mvua...una chakaza chakaza magamba, waalimu sio wakuonea huruma hata kidogo..wao ndio wasaidizi wakuu wa magamba kuiba kura wakati wa upigaji wa kura

Mkuu unajua hawa maCCM, hasa hawa misukule wa Lumumba tangu wakabidhiwe laptops wamekuwa wavivu sana wa kujibu hoja. Utaona kwamba mpaka sasa hakuna mtu aliyejibu hoja kwa ufsaha zaidi ya kurukaruka tu! Na wasipojibu nitawaripoti kwa bosi wao Nape awanyanganye hizo mashine sasa hivi.
lumumba buku7.jpg
 
uwa heshima yako haishuki, umeweka na uthibitisho, kweli umewashika pabaya.
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaa leo nimecheka I see hii compilation ni kiboko ukawa hebu itengenezeeni PowerPoint muiuze.....
 
Tanzania Daima na Raia mwema watoe matoleo maalum na kuyasambaza nchi nzima na hasa vijijini yenye mapicha kama haya ili kuonyesha udhalimu wa Maintarahamwe.

Mkuu kama mdahalo kidogo tu khs katiba Magamba wanataka chombo kilichorusha kifungiwe Raia Mwema na Tanzania Daima wakitoa hii habari si watasema wahariri wake wanahukumiwe kunyongwa?
 
Huyu magamba anaomba kura kwa kupiga magoti duuu..badala ampigie magoti Mungu yeye anapiga magoti kupata huruma za wananchi magamba ni chama chakavu

Nalima mpunga malinyiiii. Kamwe siwezi kujidhilalilisha kiasi hikii. Save me ooh God. We will fight to overcome our little trouble.
 
Mkuu sifongo haya Maintarahamwe yalivyo tayari kutumia mbinu chafu za kila aina ili kubaki madarakani, hili linaweza kabisa kutokea. Si ulimsikia fisadi Sitta kutaka ITV ichunguzwe kwa kurusha mdahalo August 4th.

Mkuu kama mdahalo kidogo tu khs katiba Magamba wanataka chombo kilichorusha kifungiwe Raia Mwema na Tanzania Daima wakitoa hii habari si watasema wahariri wake wanahukumiwe kunyongwa?
 
Last edited by a moderator:
CCm Wazee wetu hawajapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar? Leo iweje dharau mtindo mmoja?
 
Wewe ni kiazi kweli, ccm tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya mwalimu nyerere kupitia sera ya chama chetu wote na ninyi mpaka sasa kwenye awamu ya nne imekuwa inasomesha vijana wetu bure mpaka chuo kikuu kwa kuwapatia mikopo bure. CCM isipokuwapo mtaikumbuka kwa machozi mengi.amekuwa nguzo mama kwenu

Acha kujitoa akili wewe msukule....CCM iwasomeshe watu inapata wapi hela kama sio kodi za watanzania? Mimi nimesoma kwa kodi za baba yangu...baba yangu na ukoo wangu wote wamekuwa wakitozwa kodi za kila namna(kodi ya kichwa, VAT, ushuru wa mazao,etc) tangu enzi za mkoloni mpaka leo. Hizi kodi ndizo ambazo zimetumika kunisomesha mimi, na chenji iliyobaki imetumika kukusomesha wewe na wengine. Unasema CCM inasomesha wananchi kwa hela zake? Inaziokota wapi kama sio kwenye migodi, misitu na ardhi ya watanzania? Jitambue ndugu yangu....kama wewe ndiyo umepewa hilo jibu na supervisor wako huko Lumumba kwamba uje ukajibu hapa, mwambie kwamba JIBU limedunda, akupe lingine!!!
kodi.jpg shangingi.jpg
 
Back
Top Bottom