CCM nambari wani

CCM nambari wani

SHIKAMOO tpaul , japo natumia TECNO YA TOCHI lakini kwa uzi huu nakuomba upokee LIkE zangu 100 za kimoyomoyo , NOMA SANA ! Mungu akulinde sana mkuu .
 
Uzi huu ni moto kwa CCM.. I wish mkuu tpaul angeongeza na zile picha za Marehemu Mwangosi na Mbwambo...
 
Uzi huu ni moto kwa CCM.. I wish mkuu tpaul angeongeza na zile picha za Marehemu Mwangosi na Mbwambo...


Aisee huyu kamanda tpaul, magamba wanaweza kumli-ulimboka, Mungu amtangulie huyu kamanda
 
Nani kasomeshwa na ccm? Imesomesha watu wangapi? Naomba ulete budget za miaka ishirini iliyopita ili tuone ccm imetumia shilling ngapi kusomesha watu.




ccm ndio mama yenu amewazaa na kuwalea,ccm imewapa elimu bure mpaka sasa mmepata akili ya kuitukana humu jf
 
Back
Top Bottom