CCM naona mmekosa mlichokita Mkutano wa Lissu

CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
Ngoja CCM wafundishwe kwa vitendo demokrasia ni nini. Kwa CCM hii yetu demokrasia ni dude kubwa ambalo hata wakilipapasa kwa namna gani, umbo lake linabaki kuwa siri kwao!

CCM ni zaidi ya wale vipofu waliompapasa tembo na kila moja akatoka na lwake kuhusu umbo lake...
mara huyu gogo la mti, huyu uwanja wa Mkapa na huyu pepeto la akina mama!

Chadema wametoa somo ambalo kama CCM bado wana akili watajiuliza mara mbili mbili. Inakuwaje watu zaidi ya moja wajitokeze kugombea hicho kiti kimoja, huo ujasiri CCM wautoe wapi?

Fikiria siku wajumbe wa CCM wanapanga kumchagua mwenyekiti halafu anatokea mdudu mtu na kutamka hadharani kwamba atapambana na huyo mungu mpakwa mafuta, thubutu!
 
Kwanini wanaona kuna tatizo kati ya Mbowe na Lissu , kwani Mbowe amelalamika Lissu kutangaza kugombea?

Binafsi nafasi hiyo naiona inawafaa Mbowe, Lissu, Heche au Bonyai, Yeyote kati ya hao.

Machawa wa binadamu tafuteni kazi, nyie ni chanzo cha matatizo mengi sana nchi hii.
 
Kama Lissu atagombea, Mbowe amuunge mkono ili awamalize waliodhani kuna mgogoro. Lissu awe Mwenyekiti wa Chadema na John Heche awe Katibu Mkuu na Makamu MKiti awe John Mnyika.
 
Kwanini wanaona kuna tatizo kati ya Mbowe na Lissu , kwani Mbowe amelalamika Lissu kutangaza kugombea?

Binafsi nafasi hiyo naiona inawafaa Mbowe, Lissu, Heche au Bonyai, Yeyote kati ya hao.

Machawa wa binadamu tafuteni kazi, nyie ni chanzo cha matatizo mengi sana nchi hii.
Trend ya wagombea uwenyekiti Chadema zaidi ya Mbowe HAJAWAHI kuwa nzuri;
a) Chacha Wangwe alipata "ajali" ya gari ya kutatanisha.
b) Yule Mwenyekiti wa Chadema Mkoa Gani sijui aliiashia kuitwa majina yote machafu na Wana Chadema wenzake mpaka akajiuliza kama alikuwa mwezao kipindi chote ama la!
c) Zitto Kabwe huyo mpaka leo Wana Chadema lialia wakisikia amefariki watafanya maandamano ya kusherehekea kama vile wao wataishi milele (Ahahahahaha! Diamond bwana!)
d) Lissu nae amejipalia Mkapa na ni suala la muda tu atakuwa branded CCM anayetaka kujua Chadema! Ahahahahaha!!!
 
Ngoja CCM wafundishwe kwa vitendo demokrasia ni nini. Kwa CCM hii yetu demokrasia ni dude kubwa ambalo hata wakilipapasa kwa namna gani, umbo lake linabaki kuwa siri kwao!

CCM ni zaidi ya wale vipofu waliompapasa tembo na kila moja akatoka na lwake kuhusu umbo lake...
mara huyu gogo la mti, huyu uwanja wa Mkapa na huyu pepeto la akina mama!

Chadema wametoa somo ambalo kama CCM bado wana akili watajiuliza mara mbili mbili. Inakuwaje watu zaidi ya moja wajitokeze kugombea hicho kiti kimoja, huo ujasiri CCM wautoe wapi?

Fikiria siku wajumbe wa CCM wanapanga kumchagua mwenyekiti halafu anatokea mdudu mtu na kutamka hadharani kwamba atapambana na huyo mungu mpakwa mafuta, thubutu!
Weeeeee huo mtego haungiliki kamweee.
 
Hii thread imekaa kipashkuna pashkuna.., kwani Boniyai kapost nini Instagram!?.., au na yeye ni CCM!??... CDM mkubali Kuna tatizo mahali, msihamishe magoli.
Learn to face reality..
 
Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu.

Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla.

CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
Ccm nimesema mara nyingi hapa jf kuwa ni mapumbavu na mengi hayana akili jiulize yameshinda uchaguz 99% lakini hakuna hata anayejadiki ushindi wake.
 
Back
Top Bottom