Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ngoja CCM wafundishwe kwa vitendo demokrasia ni nini. Kwa CCM hii yetu demokrasia ni dude kubwa ambalo hata wakilipapasa kwa namna gani, umbo lake linabaki kuwa siri kwao!CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.
Hili swali Kila likiulizwa huwa halipati jibu.Kwanini wanaona kuna tatizo kati ya Mbowe na Lissu , kwani Mbowe amelalamika Lissu kutangaza kugombea?
Kama Lissu atagombea, Mbowe amuunge mkono ili awamalize waliodhani kuna mgogoro. Lissu awe Mwenyekiti wa Chadema na John Heche awe Katibu Mkuu na Makamu MKiti awe John Mnyika.Kwanini wanaona kuna tatizo kati ya Mbowe na Lissu , kwani Mbowe amelalamika Lissu kutangaza kugombea?
Binafsi nafasi hiyo naiona inawafaa Mbowe, Lissu, Heche au Bonyai, Yeyote kati ya hao.
Machawa wa binadamu tafuteni kazi, nyie ni chanzo cha matatizo mengi sana nchi hii.
Trend ya wagombea uwenyekiti Chadema zaidi ya Mbowe HAJAWAHI kuwa nzuri;Kwanini wanaona kuna tatizo kati ya Mbowe na Lissu , kwani Mbowe amelalamika Lissu kutangaza kugombea?
Binafsi nafasi hiyo naiona inawafaa Mbowe, Lissu, Heche au Bonyai, Yeyote kati ya hao.
Machawa wa binadamu tafuteni kazi, nyie ni chanzo cha matatizo mengi sana nchi hii.
John nasubiri kumwona rafiki yako Luca na nduguze.ππππππ₯π₯π₯
Weeeeee huo mtego haungiliki kamweee.Ngoja CCM wafundishwe kwa vitendo demokrasia ni nini. Kwa CCM hii yetu demokrasia ni dude kubwa ambalo hata wakilipapasa kwa namna gani, umbo lake linabaki kuwa siri kwao!
CCM ni zaidi ya wale vipofu waliompapasa tembo na kila moja akatoka na lwake kuhusu umbo lake...
mara huyu gogo la mti, huyu uwanja wa Mkapa na huyu pepeto la akina mama!
Chadema wametoa somo ambalo kama CCM bado wana akili watajiuliza mara mbili mbili. Inakuwaje watu zaidi ya moja wajitokeze kugombea hicho kiti kimoja, huo ujasiri CCM wautoe wapi?
Fikiria siku wajumbe wa CCM wanapanga kumchagua mwenyekiti halafu anatokea mdudu mtu na kutamka hadharani kwamba atapambana na huyo mungu mpakwa mafuta, thubutu!
Ccm nimesema mara nyingi hapa jf kuwa ni mapumbavu na mengi hayana akili jiulize yameshinda uchaguz 99% lakini hakuna hata anayejadiki ushindi wake.Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu.
Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla.
CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano wa Lissu.