Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Kuna wabunge walio Kaa madarakani, Muda MREFU TETESI zina vuma Samia anataka wapigwe chini kwenye kura za MAONI Ili baada ya uchaguzi wapangiwe ubalozi nje ya nchi lakini majimbo Yao wawape wakina MREMA wa chauma na wenzake.
Ombi litaletwa kwenye mkutano Mkuu baadhia ya wabunge wajiuzuru wasigombee na majimbo Yao yaende chauma
Nawasiii Wana ccm msishiriki dhambi hii chauma hakikubariki duniani mpaka mbinguni usitengeneze mazingira ya rahana mkatalieni awapeleke kizimkazi.