CCM ndio chama

CCM ndio chama

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
IMG_7429.jpeg

Nama la mama raisi wetu kipenzi

Raisi Samia Suluhu Hassan

Nani Kama mama

Wenye kumtungia uongo wajinyonge

View: https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D

Somo la bure

CCM ndie mama, CCM yajenga nchi

CCM ndie baba, CCM yajenga nchi
 
Vijana mjifunze kutetea chama

Ukiona watu hawasogei wanajua moto unaofuata wakijaribu. .
 
Ilikuwa niwape mfano chawa namna ya kutetea chama; Iła hapa awathibutu wanajua moto wake.
 
Vijana wana matatizo mengi currently, why waache maisha yao watetee chama? For what?
CCM ni chama progressive na kinapenda watu wenye mawazo mapya ya kuboresha chama.

Hawa vijana wa leo wamatia aibu kuwa chawa wa chama sawa, Iła hawana maeazo mapya.

Sawa na ropo ropo za Lissu ni mambo ya kukariri tu.
 
Kutetea chama na uchawa tofauti ni ndogo sana, and for the record hao hao viongoz ndio wanawapenda kufanya white washing. the last time i check politics is a waste of time kwa vijana, haswa wanaojitafuta.
pili ccm si chama kipya , kiko hapa toka 1970s, vijana wanafaidika nini kutetea chama?
 
Unaongea vitu ambavyo avieleweki leta hoja ambazo unataka mwenyekiti wa chama unataka afanye.

Mama yetu jenedari hakuna linalomshibda sema unataka nini kutoka kwake ujibiwe.

Chapa kazi raisi Samia

Kama wana hoja waseme zijibiwe, mengine makelele.

Mama wa kazi
 
Nakubaliana na hoja yako, chawa wapo tayari kufa kwaajili ya mtu wao kuliko chama.
IMG_7429.jpeg

Mama wa taifa ahitajo chawa kazi zake zinaongea zenyewe.

Sema wapi ajagusa upewe majibu.

Mama la mama

Piga kazi raisi Samia achana na makelele
 
😂😂 get a hike man
Maneno ya Mkosaji sema wapi raisi Samia ajagusa uonyeshwe.

Mama ni mjinga nchi kwa vitendo sio kwa porojo.

Sema wapi ajagusa tukuonyeshe.

Samia mpaka 2030 kwa ridhaa ya CCM.
 
Kwa staili hii yule bwana Yahaya Unaishi wapi akiomba utachomoa kweli?
 
Maneno ya Mkosaji sema wapi raisi Samia ajagusa uonyeshwe.

Mama ni mjinga nchi kwa vitendo sio kwa porojo.

Sema wapi ajagusa tukuonyeshe.

Samia mpaka 2030 kwa ridhaa ya CCM.
Nimekuuliza swali vijana wa nchi hii wanapata faida gani kutete chama? Waache kazi zao maisha yao watee chama in return wanapata nini?
 
Back
Top Bottom