CCM ndio mkombozo wa wanyonge

CCM ndio mkombozo wa wanyonge

Chama cha Mapinduzi ndio mkombozo wa watu Wanyonge nchini. Chama cha wakilima na wafanyakazi.

Kumbe Tanzania bado ina watu wanyonge!

Swali: Hao wanyonge wananyongwa na nani ikiwa CCM imekuwa kwenye utawala kwa umri wote wa Tanzania?
 
Chama cha Mapinduzi ndio mkombozo wa watu Wanyonge nchini. Chama cha wakilima na wafanyakazi.

NB: uapisho wa Ramaphosa Boeing 787 abiria 246
Hao wanyonge watakombolewa lini? Au watakuwa wanyonge siku zote za uhai wa Chama cha wanyonge?
 
CCM wameuza bandari, wameiba hela ya Sukari, Mwisho wa siku wanamtegemea diamond, zuchu, na harmonize kuwarubuni waTanzania kwenye kampeni.
 
Back
Top Bottom