CCM ni cha Waislamu: Haya Madai Si Ya Kupuuza


usiseme vitu bila ushahidi.

ni kweli wakristo hawajawahi kupigana jihad

ya nini kupigana vita vya kiislamu?

vita vya kigaidi?
 

Sifa ya kuwa kiongozi hapa tz ni kujua kusoma na kuandika!
 
Kimsingi CCM ni ya Waislam na tena bwana Jerusalem uliyeanzisha mada hii nakupongeza sana endeleza na sera za kuelemisha,wana jamii forums please tujadili mambo ya dinii na siyo kukataa hoja na udini upo Tanzania
kimsingi huwa sifurahii mtu kuzungumzia masuala ya udini Tanzania, tena huwa nalia na kumkumbuka Mwl. nyerere.[/QUOTE]
 
Duhhh mbona imenitisha?
 
Mi sio mdini. Lakini naomba kuuliza kitu kimoja kama mtanzania. HIVI ZANZIBAR HAKUNA WAKRISTO?
 
[FONT="]17. Ndugu Bernard KamiliusMembe - Mjumbe [/FONT]
Huyu mbona niliambiwa alisilimu? na anaitwa jina halisi ni Jumanne? au gazeti la udaku nililosoma lilikuwa linasema uongo?
 
Jerusalem unaona mbali sana lakini funika kombe wanaharamu apite, nasi tunayona hatuna pa kusemea heri wewe umesema lakini nakemea udini kwani sio mzuri,

Hili si jamvi la udini. Tuondolee hapa vurugu na chuki za udini wako katika jamvi letu la amani. Haya mambo yaliyoanza pole pole katika chama ambacho miaka yote tulishrikiana bila kujali imani za dini sasa Jerusalemu anayahamishia katika jamvi tukuka tulilochingia kwa amani miaka yote bila udini. Hivi kweli baada ya muda wote ambao wakristo waliruhusiwa na waislamu kuchangia wakati wao wakisoma tu sasa umegeuka kuwa nongwa. Mbona sasa wasianzishe threads na wenyewe!! Mi naona udini sasa unatafuna jamii nzima.
Kila uteuzi sasa lazima kufikiri vizuri je tukiwawekea huyu hawatakasirika? Basi tumpe msaidizi wa dini nyingine. Jerusalemu twambie lengo hasa nini? Mnatupeleka wapi? Mwisho utakuwaje. Sasa nimesikia agizo limeshatolewa wafuatiliwe wote viongozi wa dini husika waliokataa kukipigia chama, waadibishwe na kukomeshwa. Kwani dini zipo ngapi? Na je inaahamika vipi kuwa wale wa dini ile wao walikipigia chama chetu? Hii inanikoroga lazima kuna ka agenda kanaota mbawa.....
 
Udini upo bana kwani huyu rais aliyechakachua matokeo anasema uongo? maana kaimba weeeee kwenye majukwaa kwamba kuna udini. Kwenye siasa za dunia ya Tanzania ya leo kasema kuna udini. Kaimba weeeee kwenye kampeni, kaimba kwenye kukubali matokeo yaliyochakachuliwa, kaimba bungen, kaimba waziri mkuu, wote wanaimba kuwa kuna udini. Lakini hawasemi uko wapi huo udini, wanaimba tu kuwa kuna udini.
Nampongeza ndugu yangu Jerusalem maana yeye pia kaimba kuwa kuna udini lakini kathubutu kuunyoshea mkono na kidole chake. Sawa, sasa wale wanaoimba kuna udini na hawaunyoshei kidole tuwasemeje?
Come on, tuache kufumbia macho ukweli unapowekwa wazi. Aliposema Kikwete bila kubainisha udini uko wapi kila mtu alinyamaza na hakuna aliyehoji huo udini na kusema anachukia hoja za udini, na amehoji Jerusalem watu mnamnyoshea si vidole tu mali mikono. Hii ni si haki.
Jerusalemu asante kwa uthubutu.
 
Mod. pamoja na kuleta huku hii thread si kweli kwamba ni ya udaku. Huu utabaki ni kweli na ukweli haupati dawa kwa kulificha tatizo. Haya bwana.
Naomba na thread zote ambazo Kikwete alisema kuna udini ziletwe huku kwenye udaku basi la sivyo nitawaona mmeungana na Kikwete kuanza kuficha kweli.
 
Ha ha ha ha ha! Yaani mimi huwa naumia sana kichwa kila napokutana na watu wa aina hii. Hivi wewe ndugu muanzisha mjadala unafikiri dini yako itakupeleka mbinguni. Kwa taarifa yako, dini haimpeleki mtu mbinguni. Matendo mema ndiyo yatampeleka mtu mbinguni, na ni heri usiwe na dini kwa maana unaweza fanya mambo ya kumpendeza MUNGU, kuliko kuwa na dini ambazo kwa namna fulani zipo kwa ajili ya kututenganisha WEUSI. Mjadla wako hauna manufaa zaidi ya kututenganisha WATANZANIA.
 
Hii thread ingekuwa inatukana ukiristo na wakiristo isingedumu hata dakika 5 humu.
 
Leo ndio mnafunguwa macho? kuwa ccm ni ya waIslam?

Yaani miaka yote mlikuwa hamjuwi? kuwa TANU ni ya WaIslam, CCM ndio kama mnavyosema. Yanga, ndio duhhh, hitima inasomwa kila mwaka, lakini sijapatapo kusikia Yanga au Simba kuna maombi au? wewe umeshawahi kusikia?
 

Udini upo< na mimi ndio mdini wa kwanza , na mimi ni mu Islam. Jee, wewe u dini ipi? na hayo uliyoandika hapo juu, si unakiri udini kuwa upo?
 
CCM si ya waislam tu, ni ya watanzania wote, isipokuwa, waislam ndio wengi kuliko wakristo. asilimia kubwa ya viongozi wa chama hicho ni waislam. salamu yao mara zote huwa ni salam alekum hata kama wwanaongea jambo ya kiselikali...hata aibu hawana. utafikiri yule bana mdogo Erick bwigane mtangazaji wa tbc aliyelewa na neno "anticipation" aliloambiwa na mkwasa...hahaha, mara zote amelijaza kichwani, na wakato wote anasema salamaleko hata wakati wa kutangaza ambao si wa kusalimiana...sijawahi kumwona mnyakyusa asiye na hekima na ufahamu wakati akitangaza kwente tv ye taifa kama yeye.
 
...... salamu yao mara zote huwa ni salam alekum hata kama wwanaongea jambo ya kiselikali...hata aibu hawana....

Grow up Hute! Umaarufu wa salama aleykum aliuanzisha Mkapa na hii salamu mimi naona siku hizi inakwenda na 'Bwana asifiwe' whatever that means!

Haya basi badala ya kusema salama aleykum tutasema 'heri na amani iwe juu yenu' (tafsiri ya kiswahili)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…