QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
CCM ni CHAMA cha KIMATAIFA ==SMS
CCM imekazana baada ya kuona maji yamekuwa ya shingo badala ya miguuni!! Usiku wa leo nimetumiwa meseji mbili., moja ilifika saa tisa dakika 26 ikieleza kama ifuatavyo CCM iliahidi, na imefanya.. tuichague tena. CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.
SAA 11.25 ALFAJILI CCM walinitumia sma nyingine inayosema hivi CCM ni chama cha kimataifa, kimekomboa nchi nyingi barani Afrika Chagua CCM, Chagua Kikwete.
Baada ya kusoma SMS hii nilicheka sana nikamkumbuka mtu mmoja aliyekuwa anaongea katika zile picha za Tarime (uchaguzi mdogo) akisema tumeandaliwa wajinga wengi, ili kundi dogo ndilo liendelee kutawala.
SMS hii ya CCM kuwa chama cha kimataifa, imeonesha kuwa CCM hawajui kuwa kuna watz ambao wanaelewa. Tangu lini CCM ikakomboa nchi za bara la Africa? Tangu lini CCM ikawa chama cha kimataifa?
Mwaka huu wa 2010, hatudanganyiki. Endeleeni kutuma sms lakini hamuambulii kitu hapa.
Bye CCM, Bye KIKWETE