CCM ni chama cha kipekee duniani

Hili genge ni la kuondokana na
lo sasa.
 
Sababu Watanzania wenyewe wanakumbatia dini, kabila chama,mtu wa mjini au kijijini, utoto mwingi hawajui jinsi ya kuunganisha nguvu zao kwanza, kuangalia nani yupo serious na maendeleo.
Watanzania ukiwaona wanataka kuwa kitu kimoja katika kudai haki zao wachomekee mada yeyote itakayohusu Dini zao utawaona wanakosana haraka sana na ndio unakuwa ni mwisho wa umoja wao πŸ˜³πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ
Aibu !
 

CCM au Police
 
Watanzania ukiwaona wanataka kuwa kitu kimoja katika kudai haki zao wachomekee mada yeyote itakayohusu Dini zao utawaona wanakosana haraka sana na ndio unakuwa ni mwisho wa umoja wao πŸ˜³πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ
Aibu !
Na kabila pia. Watoto wa mjini, vijijini, Kanda.
 
Waziri Mkuu wa Israel anashitakiwa mahakamani nchini mwake kwa makosa ya ufisadi. Kwa nchi inayoongozwa na CCM haiwezi kutokea kwa kuwa CCM ni chama Cha kipekee.

Wananchi wa Syria wameumaliza utawala wa zaidi ya miongo mitano wa familia ya kina Assad siku chache zilizopita. Kwa CCM haiwezi kutokea kwa kuwa ni chama cha kipekee.

Bunge la Korea ya Kusini, limepiga kura ya kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo aliyetangaza hali ya hatari kwa lengo la kujilinda kibinafsi kisiasa. Kwa CCM haiwezi kutokea kwa kuwa ni chama cha kipekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…