CCM ni chama imara kuliko CDM, ACT, CUF na NCCR. Upinzani acheni kulaumu badala yake jifunzeni kwao

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Team,
Salaam!
Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada.

Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na hoja dhaifu kuwa waleta mada wanatafuta teuzi, njaa mbaya, Lumumba buku7 nk nk

* Upinzani hawajawa na chombo cha kuwaweka pamoja ktk chaguzi zao za ndani - kila zinapomalizika huishia kupasuka vipande. Mfano ni TLP vs NCCR, CUF vs ACT, CDM 1 vs CDM 2. Kundi moja likimwaga mboga lingine humwaga ugali (HII NI HATARI KWA USTAWI WAO);

* Upinzani kukosa agenda za kudumu - vyama vya upinzani nchini agenda zao ni za matukio. Mara nyingi hungojea ripoti za CAG ndipo wasikike ktk mitandao ya kijamii, husubiri mama ajifungulie kolidoni ndipo waandike;

* Uwekezaji kwa watoto na vijana ili ndio wawe tegemeo la kesho. Mfano CCM ina chipukizi imara sana lkn CDM, NCCR, ACT, CUF nk hawana program za kuandaa vijana kwa mtizamo wa miaka ijayo;

* Kutoanzisha miradi ya maendeleo ktk maeneo kadhaa ya nchi. Wao hupenda kuona watoto wa shule wanaosoma wakiwa wamekaa sakafuni na kupiga mipicha mingi badala ya kuhamasisha wananchi na wadau ili kupata hata madawati kadhaa na kuonekana wakishiriki maendeleo ya nchi yao.

Jifunzeni!
Msakila Kabende
 
Mnatumia mbeleko ya tiss BoT na Dola kuadabisha defectors wenu hakuna Cha uimara Wala nini.
 
Waste
 
..sambazeni nguvu za dola kwa usawa kwa vyama vyote.

..kwa upande wa hoja Ccm imezidiwa na vyama vya upinzani.
 
Mada zingine bwana, mnataka watu watoe yakwao ya moyoni halafu muwakamate,
Kama ndio chama makini hofu ya kufanya mabadiliko mnaitoa wapi, wakubwa wameona mbali ndio maana matukio ni mengi yanafanyika kuwaadaa watu sio wananchi,
Baiskeli, bodaboda, ambulance ya majini, makongamano kama yote, jina la bibi kila kona Alijisemea mbunge wa zamani Mh. Bwege WHY?
 
Team,
Salaam!
Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada.

Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na hoja dhaifu kuwa waleta mada wanatafuta teuzi, njaa mbaya, Lumumba buku7 nk nk

* Upinzani hawajawa na chombo cha kuwaweka pamoja ktk chaguzi zao za ndani - kila zinapomalizika huishia kupasuka vipande. Mfano ni TLP vs NCCR, CUF vs ACT, CDM 1 vs CDM 2. Kundi moja likimwaga mboga lingine humwaga ugali (HII NI HATARI KWA USTAWI WAO);

* Upinzani kukosa agenda za kudumu - vyama vya upinzani nchini agenda zao ni za matukio. Mara nyingi hungojea ripoti za CAG ndipo wasikike ktk mitandao ya kijamii, husubiri mama ajifungulie kolidoni ndipo waandike;

* Uwekezaji kwa watoto na vijana ili ndio wawe tegemeo la kesho. Mfano CCM ina chipukizi imara sana lkn CDM, NCCR, ACT, CUF nk hawana program za kuandaa vijana kwa mtizamo wa miaka ijayo;

* Kutoanzisha miradi ya maendeleo ktk maeneo kadhaa ya nchi. Wao hupenda kuona watoto wa shule wanaosoma wakiwa wamekaa sakafuni na kupiga mipicha mingi badala ya kuhamasisha wananchi na wadau ili kupata hata madawati kadhaa na kuonekana wakishiriki maendeleo ya nchi yao.

Jifunzeni!
Msakila Kabende
Mada ya kipumbavu kutoka kwa maskini mpumbavu
 
We unaumwa FISTULA, nenda katibiwe, FISTULA ni mbaya 🤔🤔
 
Kama mpo imara kihivyo, mbona mwaogopa uchaguzi huru?
 
Back
Top Bottom