Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Genge la CCM na machawa wao kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF wamekuwa wakijinadi kwamba Elimu wameboresha jambo linalopelekea ufaulu kuongezeka, sasa hebu yaulizeni machawa yao ni waziri gani mtoto wake anasoma shule ya msingi na sekondari ya serikali?
Chawa atakayetaja mtoto wa waziri anayesoma hizo shule nampatia 1m. Tusihadaike na ghiriba za uzalendo huku kina Mwigulu wakisomesha watoto wao shule za Feza na kwingineko halafu wewe unadanganywa na hoja za uzalendo na unakubali kama chizi.