kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
CCM ni ile ile jana juzi na kesho, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime 2025 wakipatana mpate mavuno, tunawaona jinsi watu wanavyodemka kwa kufuata midundo huu ndio utamaduni wa CCM kupata mtikisiko na kuzidi kujititia zaidi ni ngumu kuing'oa.
Kama haikuwezekana 2015 CCM walipoamua kushindanisha wagombea wawili mmoja akiwa upinzani na mmoja akiwa CCM na bado hamkushinda.
Tafuteni shughuli za kufanya hayo malumbano na mipasho haina muda itakufa fii.
Ushauri jiimarisheni uchaguzi upo karibu kuliko kukenua tu na CCM yenye demokrasia ya kweli kila mmoja yupo huru kuongea!
Vita ni akili mnapimwa nyinyi mafisi!