CCM ni kama simba mzee, hana rafiki na mwishowe huuwawa na mbwa mwitu

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho.

CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa madhumuni yake binafsi.

Hakuna mwana CCM asemaye ukweli sasa kwa hofu ya mfumo CCM. Lakini kila mmoja anasubiri ile siku ya mwisho ili aseme ukweli.

Huyo ndiye CCM, simba mzee sana. Siku zake zinahesabika, anaishi kwa kubahatisha mizoga. Amepoteza marafiki na sasa hata mbwa mwitu watoto wanamfukuza na mwisho watamuuwa.
 
Wewe jamaa una akili kubwa sana yaani,ulijuaje?
 
FACT!
 
Hakika Mungu sii mjomba Athumani!
 
Back
Top Bottom