Wewe jamaa una akili kubwa sana yaani,ulijuaje?Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho.
CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa madhumuni yake binafsi.
Hakuna mwana CCM asemaye ukweli sasa kwa hofu ya mfumo CCM. Lakini kila mmoja anasubiri ile siku ya mwisho ili aseme ukweli.
Huyo ndiye CCM, simba mzee sana. Siku zake zinahesabika, anaishi kwa kubahatisha mizoga. Amepoteza marafiki na sasa hata mbwa mwitu watoto wanamfukuza na mwisho watamuuwa.
Simba mzee utamjua tu, hata fisi wanamjua vizuri.Wewe jamaa una akili kubwa sana yaani,ulijuaje?
kwiiii kwiiii kwiiii kwiiii kwiiii Lumumba kazi wanayoSimba mzee utamjua tu, hata fisi wanamjua vizuri.
FACT!Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho.
CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa madhumuni yake binafsi.
Hakuna mwana CCM asemaye ukweli sasa kwa hofu ya mfumo CCM. Lakini kila mmoja anasubiri ile siku ya mwisho ili aseme ukweli.
Huyo ndiye CCM, simba mzee sana. Siku zake zinahesabika, anaishi kwa kubahatisha mizoga. Amepoteza marafiki na sasa hata mbwa mwitu watoto wanamfukuza na mwisho watamuuwa.
Hakika Mungu sii mjomba Athumani!Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho.