CCM ni kama Wasira chama kilicho zeeka lakini kinafikiri bado ni kijana. Chama kilichojisahau na kufikia wakati sasa wanaona hata chaguzi sio lazima kama una Polisi na Usalama. Chama ambacho kinafikiri vijana wote ni wasanii! yaani wakiweka wasanii machawa watapata support.
Chadema ni kama Heche. Chama cha vijana na ndiyo sababu moja wapo Mbowe kushidwa. Chama ambacho kinajiweka na kujiandaa kwa miaka ijayo tusishangae Chadema wakisema hakuna chaguzi maana hawapo pale kuangalia leo hii pekee wanajua umri wa kati wa Mtanzania ni mtoto wa miaka 17.5.
Hivyo tusimshangae huyu mzee kuongea kwa majigambo ni kama vile CCM ilivyo wakati huu. Yaani imefika mahali mpaka wanaona uvivu mgombea wa Uraisi na Makamu wake kufuata utaratibu wao wa kawaida wa uchaguzi ndani ya chama.
Ukiangalia wafuasi wapwa wa Chadema, elimu wanayotoa kwa jamii na hata Media utagundua tofauti. Wasira na CCM wanafikira hakuna kuzeeka lakini hiyo sio Dunia ya leo. Lissu anajua kwamba viongozi wa dini ndiyo watakuwa wasaidizi wakubwa wa uhuru na demokrasia