CCM ni kina nani?

CCM ni kina nani?

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Nimejiuliza sana kabla yakuja hapa jf. Hawa ccm ni kina nani? Hadi wanataka kutuharibia katiba. Tume imezunguka nchi nzima imetumia pesa yetu nyingi. Imekusanya maoni ya wananchi wa tanzania. Watanzania wamependekeza namna ya muungano wanaohitaji. Sasa hawa watu wachache wanaongozwa na kina kinana tena wenye tuhuma nyingi. Leo wanataka kutuchagulia katiba wanayo itaka wao. Hivi ni kwa nini?. Au wanatuona sisi ni maboga!!!?
 
wamechelewa
 
CCM ina wenyewe. Mabaraza ya katiba ya kata ndo CCM unayoiuliza. Ulikuwa wapi wakati akina Mbowe wanalalamika?
Tafakarini kauli za akina Mbowe vizuri..... too late to ask now!!!!
 
mbowe ndo nani wewe? si nyani na wenzake tu yule? nyi kila kitu chadema mnafikiri wanauwezo wa kufanya chochote pamoja na kwamba kanisa linawaunga mkono?
 
Ficha upumbavu wako mkuu!!
 
Back
Top Bottom